Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daka hiyoHata mkulu yule malaika mkuu amesema hapati furaha kwa mkewe.Sembuse ss wananchi
Haha hahah hhaha kwa hiyo anapiga puchu mashowatHata mkulu yule malaika mkuu amesema hapati furaha kwa mkewe.Sembuse ss wananchi
[emoji1][emoji2][emoji3]Haha hahah hhaha kwa hiyo anapiga puchu mashowat
🤣😂🤣😂🤣[emoji1][emoji2][emoji3]
Serikali hii ya ccm ndio inasababisha watu kuwa na huzuni,Je serikali ndio chanzo cha watu kutokuwa na furaha?
Mkuu umeandika vema, tuendelee kuwaambia hawa vijana wa ali hassani ili wajue hatuko sawa na waoJe wewe unanfuraha?
Unafurahi kusikia maelfu ya wanafunzi wamehitimu lakini hakuna ajira? Unafurahi kusikia kuwa wengi wameuliwa Pemba ili mtoto wa boss awe rais? Kwenu mwapata maji safi na salama kila kaya? Je mna maisha Bora? Au ndio unafiki tu wa Watanzania kama asemavyo Khantwe ?
Na wewe mbona unaandika kwakutumia lugha yamabeberu ACHA UNAFIKIIf you can't face the heat get out of the kitchen mate.....wenyewe wanaamini furaha inakuja kwa kutukana serikali na kuchinjana kama Kenya kufurahisha mabeberu...
Hapa kuna shida gani mkuu sjaelewaKwa hali hii furahaa itatoka wapi?View attachment 1628234View attachment 1628235View attachment 1628236
1.Ajira zimekua ngumu kwa vijana.
2.Watu wanapotea kusipojulikana.
3.Wazee wana pigwa chenga kwenye mafao yao.
4.Ndani ya miaka mitano,hamna promotion yoyote kazini.
5.Hamna ongezeko la mshahara.
6.Riba ya Heslb kutoka 3% mpaka 15%.
7.Bei ya cement from 11,500Tzsh mpaka 22,000Tzsh.
Kwa hizo sababu hapo juu,hiyo furaha inatoka wapi ndugu yangu Bujibuji?.
Hivi kama Mheshimiwa Rais anasema hana furaha, na hata mkewe kashindwa kumfurahisha, wewe ambangwele wa mabonde kwinama, unapata wapi furaha?Watu wengi hudhani utajiri na furaha ya mtu mmoja mmoja huletwa na serikali lkn si kweli. Nchi hii hii iliyoitwa inauchumi wa kati ndio inatajiri wa kwanza kwa umri mdogo barani Afrika.
Lakini jambo la ziada ni kuwa unatumia vipimo gani kubaini mwenye furaha na asiye na furaha ? Tukiambiwa kipimo huenda na sir tukapima kwa nchi zao pia sio lazima na sie tuwe wakuambiwa tu.
Mkuu ni wachache sana wanaweza kukuelewa, kama mtu anaweza kusema kwamba "eti tanzania inae tajiri mwenye umri mdogo zaidi afrika", kwamba hatuoni aibu kuwa na kijana mmoja tajiri kati ya watu millioni 55 waishio hapa nchini !!, ni fedheha kwa nchi kubwa kama hii kuwa na tajiri mmoja tu, na lkama ulivyosema hapo juu, endapo rais analilia hata uso wake ukimuona utadhani amemeza chroloquine, mke wake nae tunamuona akiwa hata uso wa furaha !!, vipi sisi wengine ?, si unaweza kujikuta umekufa ukiwa unatembea !!, watu wanadhani tu wazima, kumbe !!Hivi kama Mheshimiwa Rais anasema hana furaha, na hata mkewe kashindwa kumfurahisha, wewe ambangwele wa mabonde kwinama, unapata wapi furaha?
Wewe tunakufahamu, akili zako ziko sehemu tofauti alipoziweka Mungu akili za wengineUkiona mtu ana furaha furaha hovyo ujue huyo ni mgonjwa wa akili, ...
Chama Cha MazezetaUkiona mtu ana furaha furaha hovyo ujue huyo ni mgonjwa wa akili, ...
Kwani we una furaha mkuu?Watu wengi hudhani utajiri na furaha ya mtu mmoja mmoja huletwa na serikali lkn si kweli. Nchi hii hii iliyoitwa inauchumi wa kati ndio inatajiri wa kwanza kwa umri mdogo barani Afrika.
Lakini jambo la ziada ni kuwa unatumia vipimo gani kubaini mwenye furaha na asiye na furaha ? Tukiambiwa kipimo huenda na sir tukapima kwa nchi zao pia sio lazima na sie tuwe wakuambiwa tu.
wewe unafanyaje kuisaidia serikali kupunguza hii idadi ya wanafunzi wengi ili wakubwa wasisomeshe nje..huji kuna shule haa hapa mjini zina mchepuo zaidi hata ya nje...halafu lazima ujifunze hamnaga usawa toka kipindi cha yesu..sasa we kaa hapo lia lia badala ya kupambana uone kama mwanao hajabaki kujipanga andamana wakati watoto wa wenzio wanazidi enda ulayaElimu kweli ni bure, ila darasani watoto Ni zaidi ya 100, kelele mtindo mmoja, hawafundishwi wakaelewa, madawati hamna.
Watoto wa wakubwa wanasoma nje, wakirudi ndio wanaoajiriwa, ndio mabosi na ndio watawala