Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Je serikali ndio chanzo cha watu kutokuwa na furaha?1. Siwezi semea Watanzania wote, ila mimi SINA FURAHA. Nikiwa natembea njiani naona wengi hawana furaha. Familia yangu naona wote hawana furaha. Kwenye daladala/mwendokasi sura naona hazina furaha.
2. Pesa ngumu, huduma za kijamii mbovu, foreni kila mahala, ...
3. Serikali ituboreshee huduma..
If you can't face the heat get out of the kitchen mate.....wenyewe wanaamini furaha inakuja kwa kutukana serikali na kuchinjana kama Kenya kufurahisha mabeberu...1. Siwezi semea Watanzania wote, ila mimi SINA FURAHA. Nikiwa natembea njiani naona wengi hawana furaha. Familia yangu naona wote hawana furaha. Kwenye daladala/mwendokasi sura naona hazina furaha.
2. Pesa ngumu, huduma za kijamii mbovu, foreni kila mahala, ...
3. Serikali ituboreshee huduma..
Ukiwa na mentality hii sijui utaishi wapi labda mbinguni..in wazuri kunyoshea vidole kila MTU kasoro wewe tuJe serikali ndio chanzo cha watu kutokuwa na furaha?
Elimu kweli ni bure, ila darasani watoto Ni zaidi ya 100, kelele mtindo mmoja, hawafundishwi wakaelewa, madawati hamna.If you can't face the heat get out of the kitchen mate.....wenyewe wanaamini furaha inakuja kwa kutukana serikali na kuchinjana kama Kenya kufurahisha mabeberu...
Hill ni swali, hata siku moja swali haliwezi kuwa mtazamo/ mentality ya mtuUkiwa na mentality hii sijui utaishi wapi labda mbinguni..in wazuri kunyoshea vidole kila MTU kasoro wewe tu
nimejikuta naumbuka wimbo wa "joto hasira" lol1. Siwezi semea Watanzania wote, ila mimi SINA FURAHA. Nikiwa natembea njiani naona wengi hawana furaha. Familia yangu naona wote hawana furaha. Kwenye daladala/mwendokasi sura naona hazina furaha.
2. Pesa ngumu, huduma za kijamii mbovu, foreni kila mahala, ...
3. Serikali ituboreshee huduma..
Serikali yenyewe inaongozwa na mtu ambaye hana furaha,unadhani taifa litakuwaje,...ni stress tupu!!!!!!Je serikali ndio chanzo cha watu kutokuwa na furaha?
Je wewe unanfuraha?Ukiwa na mentality hii sijui utaishi wapi labda mbinguni..in wazuri kunyoshea vidole kila MTU kasoro wewe tu
Zaidi ya kutokuwa na furaha pia ana chuki kali sana kwa mkewe na wananchi woteSerikali yenyewe inaongozwa na mtu ambaye hana furaha,unadhani taifa litakuwaje,...ni stress tupu!!!!!!
Haahah mbona chukiiiZaidi ya kutokuwa na furaha pia ana chuki kali sana kwa mkewe na wananchi wote
Hata mkulu yule malaika mkuu amesema hapati furaha kwa mkewe.Sembuse ss wananchiJe serikali ndio chanzo cha watu kutokuwa na furaha?
Acha Bange , CCM imekufanya umekua chizi.If you can't face the heat get out of the kitchen mate.....wenyewe wanaamini furaha inakuja kwa kutukana serikali na kuchinjana kama Kenya kufurahisha mabeberu...