CreativityCode
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 158
- 653
Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu.
Naomba jibu.
Naomba jibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu ni Tag mkuu😁Ulaya gani hiyo ambako fisi ni rafiki wa karibu sana wa binadamu?
Na ukimrushia jiwe mkono unaweza kuganda😁Bundi anatisha sana, yaani ndege amekaa kama paka...
Ajabu hata ndege wenzake hawamtaki !!. Nimewahi kuona mara mbili akishambuliwa na ndege jamii nyingine . Yawezekana ni muanga1. .BUNDI ANATUMIKA KWA ZINDIKO LA NYUMBA ,SHAMBA N.K
BUNDI..NI NDEGE WA AJABU SANA ANAUWEZO WAKUONA USIKU KULIKO MCHANA. NA UJITAFUTIA KITOWEO USIKU .
... BUNDI UTUMIWA NA WANGA ,KWA MWONEKANO WAKE..WATU ULETA DHANA YA KWAMBA BUNDI NI NDEGE HATARI NA MBAYA KWA MAISHA YA MWANADAMU. SIO KWELI WABAYA WANADAMU WANAOMTUMIA.
........... ASANTE KWA LEO.....
Sio kweli mnamsingizia tuAjabu hata ndege wenzake hawamtaki !!. Nimewahi kuona mara mbili akishambuliwa na ndege jamii nyingine . Yawezekana ni muanga
Waambie wajinga hawaBundi ukimkaanga daaah ananyama tamu sana
1. .BUNDI ANATUMIKA KWA ZINDIKO LA NYUMBA ,SHAMBA N.K
BUNDI..NI NDEGE WA AJABU SANA ANAUWEZO WAKUONA USIKU KULIKO MCHANA. NA UJITAFUTIA KITOWEO USIKU .
... BUNDI UTUMIWA NA WANGA ,KWA MWONEKANO WAKE..WATU ULETA DHANA YA KWAMBA BUNDI NI NDEGE HATARI NA MBAYA KWA MAISHA YA MWANADAMU. SIO KWELI WABAYA WANADAMU WANAOMTUMIA.
........... ASANTE KWA LEO.....
primitive societies1. .BUNDI ANATUMIKA KWA ZINDIKO LA NYUMBA ,SHAMBA N.K