kwanini Tanzania

kwanini Tanzania

jiji101

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
22
Reaction score
12
Wadau wa soka nimekuwa nikijiuliza kwani Taifa stars au vilabu vya Tanzania katika mashindano ya kimataifa Mara nyingi mechi ya kwanza tunaanzia Tanzania? Wadau kama mtu anafahamu sababu atujuze
 
Uwa wanaangalia ranking mkuu kama sikosei..!!
 
Back
Top Bottom