wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni tv ya CCMWadau wote tunajua TBC ni televisheni ya serikali Watanzania wote kodi zao pamoja na kodi za mbowe na wenzake zinatumiwa na TBC.
TBC imekuwa inatangaza kesi mbalimbali lakini toka mahakama ya uhujumu uchumi ianze kusikiliza kesi ya Mh. Mbowe na wenzake hakuna hata siku TBC imeripoti juu ya mwenendo wa kesi hiyo wakati ni haki ya wananchi kuhabarishwa na chombo wanachokichangia kodi wananchi.
Naipongeza ITV kwa kutuhabarisha watanzania mpaka tumejua kuwa Mh. Mbowe na wenzake wananyimwa chakula hakika ni ukatili na unyama uliopitiliza.
Wenye mamlaka kumbukeni dunia ni mapito mbinguni kila mtu atajitetea kivyake hakuna kusema ulitumwa au uliagizwa.
Gen. Sabaya licha ya kusema aliagizwa na wakubwa miaka 30 anaitumikia pekee yake.
Ni mali ya CCMTBC siyo Tv ya umma
Bora uangailie maigizoKwakweli mimi siwezi kulijibu hilo maana hata hiyo TBC sijawahi na sina mpango wa kuiangalia
Hiyo kesi imefunguliwa na mleta mada hadi umuulize maslahi? Aliyefungua kesi ndo mwenye maslahi nayo. Kama huna kichwa kaa kimya kutumia sehemu nyingine kufikiri ni ufedhuli.Kwa maslahi gani iliyobeba hiyo kesi yako?
Hata wangeripoti wangechagua upandeKwa kweli ITV ina deserve kuwa Super Brand East Africa. Tena nimefurahi zaidi leo imeingizwa ndani ya King'amuzi cha DStv. Wametoa summary nzuri sana leo.
Usikonde. TBC ni CCM.Wadau wote tunajua TBC ni televisheni ya serikali Watanzania wote kodi zao pamoja na kodi za Mbowe na wenzake zinatumiwa na TBC.
TBC imekuwa inatangaza kesi mbalimbali lakini toka mahakama ya uhujumu uchumi ianze kusikiliza kesi ya Mh. Mbowe na wenzake hakuna hata siku TBC imeripoti juu ya mwenendo wa kesi hiyo wakati ni haki ya wananchi kuhabarishwa na chombo wanachokichangia kodi wananchi.
Naipongeza ITV kwa kutuhabarisha watanzania mpaka tumejua kuwa Mh. Mbowe na wenzake wananyimwa chakula hakika ni ukatili na unyama uliopitiliza.
Wenye mamlaka kumbueni dunia ni mapito mbinguni kila mtu atajitetea kivyake hakuna kusema ulitumwa au uliagizwa.
Gen. Sabaya licha ya kusema aliagizwa na wakubwa miaka 30 anaitumikia pekee yake.
Watakuhabarisha akifungwa na wataweka kipindi maalum na magazeti ya serikali yatatoa matoleo maalum.Wadau wote tunajua TBC ni televisheni ya serikali Watanzania wote kodi zao pamoja na kodi za Mbowe na wenzake zinatumiwa na TBC.