Kwanini TBC wasifungue YouTube channel waweke nyimbo za zamani?

Naunga mkono hoja
 
Mashallah
 
Hawa hawatundei haki. Wao ni hazina ya Taifa, lakini wamelala, wanadhani wapo ili walipwe mishahara tu
 
Mimi naomba nyimbo zetu za mchiriku za zamani, Aisee napata shida sana kuzipata

Hata hizi za juzi tu za Genarali Lupozi(Juma Mpogo) na zenyewe sijui ziko wapi?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…