Pre GE2025 Kwanini Team Samia inaogopa kuenguliwa 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata aliyepita pamoja na sifa zake zote za ubabe na uchapakazi wake lakini aliogopa.

Alianza kuwaogopa wana CCM wenzake na kisha akawafanyia figisu wapinzani nje ya CCM.
Siasa hazitabiliki
 
Hata aliyepita pamoja na sifa zake zote za ubabe na uchapakazi wake lakini aliogopa.

Alianza kuwaogopa wana CCM wenzake na kisha akawafanyia figisu wapinzani nje ya CCM.
Siasa hazitabiliki
😀 itakua wewe ndie mwoga ulieogopa....

ndume yenye uhakika haimchungulii mkewe...

what man can do, a woman can do better,
kama ulikua hujaona ndio hii ndio hii sasa kwa hyu mumama, hawez kua na hofu....

ata kwa familia yako if you take full control and authority over it, huwez kuwa na hofu na mke wako, watoto wako, ndugu ,jamaa wala rafiki zako unless ni suruali😎
 
Nadhani muda umefika sasa mkaweke kwenye katiba kipengele cha kumlinda rais anayemaliza term ya kwanza ili kuepusha sintofahamu za aina hiyo.

Maana kama Katiba ya CCM inaruhusu ushindani hakuna sababu kuwazuia wanachama wenye nia ya kugombea.
 
Mbona alitumika na mzee mamvi mwaka 2015?
Kwa wanaomwelewa mamvi ni mchapakazi mwenye mipango thabiti katika maendeleo asiyependa mizaha Kwa tabia za wivu kisiasa jamaa zake wakamfitini Kwa madhalilisho yalishindwa hata kupelekwa mahakamani au takukuru
 
Mambo ya aina hiyo yalifanyika wakati wa mfumo chama kimoja.
Mtu mmoja aliyeitwa Mwenyekiti alikuwa anamuua kila kitu.
Huo ndiyo wakati ambao wajumbe walikuwa na kauli mbiu yao "Zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti"
Siyo wakati huu.
Kama Katiba inaruhusu wanachama wengine kushindana na rais aliye madarakani wewe ni nani uzuie?
Futa kipengele kinachoruhusu ushindani, hutaona watu wanahangaika na form.
 
Hili jambo lina maslahi kwa taifa, hatuwezi kuwa na Rais wa mpito kwa miaka 9. Miaka 9 ni mingi sana kwa uharibifu utakao tokea.. itachukua miaka mingi sana turudi kwa mstari.


Ni vyema katiba ibadirishwe pale inapo tokea Rais anatangulia mbele za haki basi uchaguzi wa Rais ufanyike ndani ya miaka 2.
 
Hapa walioandika katiba walibugi pakubwa, mtu kuwa rais kwa miaka minne bila kuchaguliwa kwa kura za wananchi......yaani kwa kurithi tu madaraka.​
 
Na Mwenyekiti wa Makundi hayo ni nani? Hizi nazo ni pumba tu. Hivi wewe unafahamu nguvu aliyonayo Mwenyekiti wa CCM? Unaweza kucheza na Rais wa Tanzania kwa vile na Mhimili wa Mahakama upo unaweza kukusaidia lakini siyo Mwenyekiti wa CCM.
 
Ccm wote wanenguliwa
 
Timu msoga imecharuka
Rostam Azizi yupo upande wa mama Abdul
Dg wa TISS karudishwa kunusuru hali.
Kinana atapigwa chini mwezi wa 2/3
Mpango anastaafu 2025
Ni mengi aisee
Hata tukiishi bila ya uongozi ni bora kuliko wa ccm
 
Tulijifunza kutoka Kwa Mwendazake aliyechapisha fomu 1 akiogopa kuenguliwa [emoji91][emoji91]

Fomu ya Urais wa 2025 itakuwa 1 na jina la Samia tuu.
Alafu chama hikihiki kinajisifu kuwa ndiyo baba wa democrasia nchini.

Hakika maajabu hayataisha duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…