moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Hata aliyepita pamoja na sifa zake zote za ubabe na uchapakazi wake lakini aliogopa.yaani yeye ndie mwenyewekiti, kisha huyo huyo anaogopa kuenguliwa[emoji205]
yaani yeye ndie anateu na ndie mwenye mamlaka na assets na liabilities za chama, ndie aliebeba matumaini ya viongozi wa chama, wanachama na wanainchi wote wa Tanzania halafu tena awe na hofu [emoji851]
hiyo itakua ni akili za nyumbu, kenge, panyarodi au matope [emoji205]
Alianza kuwaogopa wana CCM wenzake na kisha akawafanyia figisu wapinzani nje ya CCM.
Siasa hazitabiliki