KWANINI TFF HAIZIALIKI TIMU KUTOKA NJE KUJA KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI NA VILABU VYETU KAMA ILIVYOKUWA WAKATI WA FAT?

KWANINI TFF HAIZIALIKI TIMU KUTOKA NJE KUJA KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI NA VILABU VYETU KAMA ILIVYOKUWA WAKATI WA FAT?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Kwa wale wapenzi wa Soka la Tanzania watakumbuka jinsi Vilabu chini ya FAT vilivyokuwa vinacheza mechi za kujipima nguvu kwa timu au vilabu kutoka nje ya nchi kwa mialiko ya Chama cha Soka FAT. Sijui kwanini kwa sasa utaratibu huo chini ya TFF haupo na pia vilabu vyetu pia havifanyi hivyo au kwenda kucheza mechi za kujipima nguvu nje ya nchi mara kwa mara nchi za jirani tu kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia n.k.Mechi za kimataifa ni muhimu kuliko eti unacheza na Mikumi united au Rwanga united ya lindi.Viongozi wa TFF.na Vilabu badilikeni mpira ni Sayansi.
 
Back
Top Bottom