Kwanini TFF imeruhusu Simba kusajili makocha vihiyo?

Gomez na diploma yake anakusanya vikombe tuu, nyie na profesa wenu mshaanza kulialia hata kabla ligi haijaanza.
Wala usimsifu sana kocha, sifu viongozi na wanachama wa Simba baada ya kukubali mabadiliko haraka, wakawa na uwezo wakusajari wachezaji wanaoona ni wazuri sana, kama Chama,Luis na wengine wengi. Wala Gomes hana kazi kubwa sana, maanakishingo aliiachatimu na wachezaji wake walewale.
 
Waliitwa walimu wa UPE, uwalimu pasipo elimu
 
Pole. Mwana utopolo ni hivi CAF wamebadilisha tu vigezo mwaka huu wa michezo unao anza ndio maana awamu zilizopita matola gomez walikua wanakaa bench la ufundi
 
Mmeanza kulalamika badala ya kuandaa timu!
Nawakumbusha kuwa muandae malalamiko ya kutosha kwa aibu mtakayoileta kwa taifa mtakapokutana na Rivers united
 
Mmeanza kulalamika badala ya kuandaa timu!
Nawakumbusha kuwa muandae malalamiko ya kutosha kwa aibu mtakayoileta kwa taifa mtakapokutana na Rivers united
Hicho ulichoandika hakiifuti aibu ya Simba na Gomez kwa wachezaji na mashabiki na TFF. TFF isiruhusu makocha ambao hawana sifa waje nchini kuchukua nafasi za wazawa
 
Huyu nae ni msomi wetu, bora uendelee kuwa jobless milele
 
Ukweli ndio huo wanajiita team kubwa lakini makocha wao ni la saba c.
Matola ndio kabisa hafai hata kufundisha team za mtaani.
 
Uyo kocha wa utopolo ni noma naona sarpong pia alibadirika ,chimbi pia alibadirika ya nabi ni balaa
 
Pole. Mwana utopolo ni hivi CAF wamebadilisha tu vigezo mwaka huu wa michezo unao anza ndio maana awamu zilizopita matola gomez walikua wanakaa bench la ufundi
Madiliko hayo mbona hayakuwaadhiri makocha wa Yanga, Azam, Biashara united na KMKM?
 
Saa moja jioni leo tutajua mbivu na mbichi,asante Biashara na Azam kuliheshimisha Taifa.
Timu kufungwa haimaanishi kuwa kocha hana sifa. Zipo sababu nyingine zinazoweza kusababisha Yanga ifungwe Leo pamoja na kuwa na kocha mzuri, zikiwemo sababu za.
1. Kuzuiwa wachezaji wake 3 muhimu kucheza.
2. Maandalizi hafifu ya preseason
3. Timu kuwa na wachezaji wengi wapya.
4. Uwezo binafsi wa wachezaji dhidi ya wachezaji wa timu pinzani.
5. Motisha/comfortability kwa wachezaji.
6. Makosa ya uchezeshaji uwanjani.

Ndio maana hata Mourinho, Guardiola wanafungwa. Ila kwa Simba makocha wote hawana sifa, matokeo vwaliokuwa wanayapata ni kwaajili ya hizo sababu nyingine.
 
Kwa nini wewe mods wameruhusu bandiko licha ya kuandika vibaya heading?

"VIHIVYO"
 
Mmeshaanza kutafuta visingizio
 
Kwenye press ya kukaribishwa msukule aliwaambia muache kalalamika,uliza kwanza kabla ya malalamiko.
Naomba nikuulize, au yeyote anayefahamu anisaidie kuelewa.. KWANINI KOCHA WA SIMBA HATAKAA BENCHI LA UFUNDI LA SIMBA KWENYE YE MASHINDANO!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…