rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
kocha kihiyo wa Simba amekuwemo kwenye makocha 10 bora Afrika wakati kocha mwenye vyeti nafasi yake hata haijulikani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshahara anaokipwa Gomez na wachezaji aliokuwanao Gomez akina Chama na miquissone, Bocco, Mugalu, nk ukimpa Kibadeni au Julio Simba ingechukuwa kombe la African championskocha kihiyo wa Simba amekuwemo kwenye makocha 10 bora Afrika wakati kocha mwenye vyeti nafasi yake hata haijulikani
1.Gomez Ni kocha Mkuu haswaa.Jibu swali, Gomez ndiye kocha mkuu? Mzungu kihiyo jina kubwa kumbe mention town. Mwamed hataki hasara za kijinga
Kumbuka ktk makocha kumi bora Afrika KWA ripoti ya sasahivi Gomez yuko namba 4.Jibu swali, Gomez ndiye kocha mkuu? Mzungu kihiyo jina kubwa kumbe mention town. Mwamed hataki hasara za kijinga
Naona mmekuwa wazee wa kumbukumbu, nendeni shule hatutaki umisheni town.Kumbuka ktk makocha kumi bora Afrika KWA ripoti ya sasahivi Gomez yuko namba 4.
Huyo Nabi wa utopolo hayupo . Muwe mnaongea fact, siyo Ujinga ujinga.
Mm sipigi porojo, hiyo ni ripoti ya CAF ya wiki hii.Naona mmekuwa wazee wa kumbukumbu, nendeni shule hatutaki umisheni town.
Bado umejikanyaga tu, hujajibu maswali.1.Gomez Ni kocha Mkuu haswaa.
2.mechi za ligi atasimamia Gomez km kocha mkuu
3.Caf mrundi atasimamia km kocha Mkuu kivuli km ulikuwa Hujui.
Turudi kwenye ujinga wako kwamba Gomez Ni kihivyo. Ndiyo nikasema km Hujui kitu usibwabwaje au kuropoka hovyo.
IKO HIVI:
GOMEZ ana leseni ya UEFA A ambayo ilikuwa sawa na Leseni ya CAF A mpaka hapo Gomez alikuwa hana tatizo.
Kilichotokea:
UEFA wakaapugredi leseni zao kutoka UEFA A hadi UEFA A Pro, ndio hapo leseni ya Gomez ikawa chini baada ya CAF nao kusema ili uweze kuwa kocha mkuu ktk mashindano yanayosimamiwa na CAF ikiwa we ni kocha kutoka UEFA lazima uwe na leseni ya UEFA pro. Na hapo hapo CAF nao wakaapugred kutoka CAF A hadi CAF A pro kufanana na UEFA.
Hivyo makocha wengi wa ulaya ikabidi wasome na Gomez nae anasoma.
Sasa ukihiyo wa Gomez ni upi.
Wewe unaandika kishabiki wakat mm sikuwa huko.
Sijui km umeelewa!
mlikuwa na Mwambusi mbona mlimuachaMshahara anaokipwa Gomez na wachezaji aliokuwanao Gomez akina Chama na miquissone, Bocco, Mugalu, nk ukimpa Kibadeni au Julio Simba ingechukuwa kombe la African champions
Tangu Haji awatupe mkono akili zenu ziliwatupa mkono pia
Umepoteza muda kuandika ugoloKumbuka ktk makocha kumi bora Afrika KWA ripoti ya sasahivi Gomez yuko namba 4.
Huyo Nabi wa utopolo hayupo . Muwe mnaongea fact, siyo Ujinga ujinga.
Mshahara wa simba unakuhusu nini utopolo, mada si inahusu lawama kwa tffMshahara anaokipwa Gomez na wachezaji aliokuwanao Gomez akina Chama na miquissone, Bocco, Mugalu, nk ukimpa Kibadeni au Julio Simba ingechukuwa kombe la African champions
ulikiangalia ulichoandika hapa inaonesha kuondoka kwa Haji kumekuachia athali ya sonona. Sio kweli kwamba Yanga haitafanya vizuri kwa kuangalia mechi 2 tu zilizopita. Zanaco na Rivers sio timu ndogo kiasi hicho unachompimia Manara na yanga ambayo bado wachezaji hawajakaa vizuri wakati wanacheza na hizo timu.Kwa akili zako za kitopolo Haji ndiye aliyekuwa anaipa Simba matokeo?
Haya sasa mnae huko utopolo, game mbili mmepigwa na bado mtaendelea kupigwa!
Kwa akili zako za hovyo unadhani kwamba Haji ndiye simba, mburula kabisa wewe!
Huo mfano hauendani na issue hii. Gomez kasimamishwa kuwa kocha mkuu, lakini madereva hawakusimamishwa kuendesha magari yao, bali walipewa muda wa kuboresha leseni zao. Hii inaonyesha muda wa gomez kuboresha cheti ulitolewa lakini gomez, simba na tff walidhani ni utani tu kwakuwa gomez anashinda mechi kwa fluke walidhani haitamkumba.Unapoamua kufuata moyo wako,hakikisha unaenda na ubongo wako! Kuna kipindi madereva wa umma wote walitakiwa wawe na chet toka NIT japo walishakuwa madereva wa muda mrefu na uzoef wanao,ndio kilichomtokea Gomez ni kubadilika kwa kanuni tu sio kwamba hana sifa! Huyo Nab alikuwepo kigoma wakati Gomez akiongoza kipondo,Narudia " unapoamua kufuata moyo wako hakikisha unakwenda na ubongo wako"
Wachezaji simba walikuwa wanalishwa matangopori na gomez. ndiyo maana wachezaji wa simba hawafanyi vizuri kwenye timu ya taifa ingawa wanachaguliwa wengi sana kujiunga na timu ya taifa. janjajanjaNaona mmekuwa wazee wa kumbukumbu, nendeni shule hatutaki umisheni town.