Kwanini TFF wanataka kumhujumu Samatta

Kwanini TFF wanataka kumhujumu Samatta

Ha ha ha haaaa... Yaani kwa jinsi nilivyo Mimi na roho yangu, ningekua ndio Mbwana halafu nikagundua TFF wanachukulia Kama ligi ya Kombe la jezi, wallah ningekuja Kimya Kimya na kujoin familia YANGU tu... Sitaki Nini wala Nini...

Hongera kwa kuisemea roho yako, lakini kwa roho ya namna hii sijui kama utacheza hata ndondo cup utaendelea kuishia humu humu JF. Escape One tayari wamekuja na njia mbadala jumuika nao saa nane kitu gani kwa kumpokea shujaa. Mbona mwaka mpya watu wanahusubiria na kombe la dunia brazil na Japan watu walikomaa. Tutakao wakosa ni wale wasio katika familia ya mpira bongo. Dogo katuvalisha nguo manake kuna waTZ chungu mzima wamezaliwa na mpaka kuzeeka bila kuona mwanasoka bora wa afrika achilia mbali ligi za cha ndimu hata ndondo akitokea bongo. Hii ni Zaidi ya fursa
 
huyo malisa ana point lakini hiyo fitna ya caf kumkatia ticket usiku kwa fitna haina logic... caf imealika watu tofaut almost 100 kwa mfano kutoka sehem mbali mbali dunian.. na imewaleta na kuwarudisha kwa gharama zao. kwa taasisi kubwa hazilipi cash hapo hapo.. ni invoice then process zingine ndio mtoa huduma analipwa... simple like that inatafuta shirika la ndege / mtoa huduma wanampa kazi ya idadi ya ticket za waalikwa... eg ethiopia.. yeye anawaleta watu na kuwarudisha walipotoka kwa kutegemea na ratiba za ndege zake.. as ndege haimbebi abiria mmoja tu.. so kama ratiba ya ndege anayokuja tz ni ya usiku hakuna shortcut ya kumleta mtu asubuh labda ajikatie ticket yake.. caf hawapang ratiba za ndege.. mwisho wa siku mtoa huduma eg ethiopia au kenya airways anapeleka invoice yake ya abiria wote wa caf eg 100 analipwa.. huwez tumia mashirika 10 tofauti kwa malipo ya credit kwanza ni usumbufu kimalipo.. na kama kupangiwa na nigeria ni kuhujumiwa unataka upangiwe nani wakati ni mashindano kila mtu ameingia kwa sifa.. huo utetez wa kiswahili sana.. ni sawa na X na Y wasipimwe kwa pepa moja ya hesab kisa mmoja anajua sana katika same post interview..

kwanza mazembe ndio wana haki ya kumshangilia ndio waliomfikisha hapo... watanzania tunapenda kuvuna tusivyovipanda
 
Kila siku huwa nasema kuwa na rais wa shirikisho la mpira wa miguu ambaye hajawahi hata cheza UMITASHUMTA ni hatari sana ktk soka ndio hayo huyo muhaya anayaleta.
 
Back
Top Bottom