Kwanini thread za mapenzi na mahusiono wanazichangamkia sana wana JF?


Ukikigawa vizuri Kichwa cha Mtanzania utagundua kuwa 1% ni za kuwaza Maendeleo, 3% ni za Kudhulumu, 4% ni za kupenda Ushirikina na Majungu na 90% zilizobaki ni za kupenda Ngono na Ungonokaji wake uliotukuka Mkuu.
 
KWANIHATA TRUMP SI ALISEMA WAAFRIKA SISI TUNACHOJUA NI MAPENZI NA NINI SIJUI VILE.. THAT PUNK
 
Unajua kazi zingine hatujazipitia, lakini mapenzi na mahusiano kila mtu anayapitia kila siku. Sasa unataka nijibu maswala ya Udaktari au utabiri ambao sina.?
Ndiyo maana kuna comments nyingi kwa mambo hizo
 
Tuanze na wewe kwa nini umeleta uzi unaoelekeza kujadili jukwaa la MMU, kwani majukwaa mengine hakuna?
 
Unataka kumaanisha kwamba mapenzi ndo kitu pekee kinachojulikana na kila mtu??
Ninamaana huwezi reply kitu ambacho huna weledi nacho....au ku reply NGOJA WAJE...ndy INATOSHA KUCHANGIA MADA?haipendezi kuchangia UPUUZI kwny jambo ambalo huna WELEDI nalo...na haimaanishi kwamba mada zingine watu hatuchangiii...
 
Waafrika maisha yao ni
1. Ngono
2. Pombe
3. Ngoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…