Kwanini thread za mapenzi na mahusiono wanazichangamkia sana wana JF?

Kwanini thread za mapenzi na mahusiono wanazichangamkia sana wana JF?

Unajua kazi zingine hatujazipitia, lakini mapenzi na mahusiano kila mtu anayapitia kila siku. Sasa unataka nijibu maswala ya Udaktari au utabiri ambao sina.?
Ndiyo maana kuna comments nyingi kwa mambo hizo
Sawa mkuu
 
nadhan umepata ukwel [HASHTAG]#kptia[/HASHTAG] thread yko si siyo ya mapenz
 
Back
Top Bottom