Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana

Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
 
Hii sasa ndio sampuli ya mashabiki wa utopolo! 😆😆😆
 
Leo huja kunywa dawa zako ulizo pewa kule kwenye ile hospital ya Dodoma,
Angalia sasa umekosa usingizi usiku wote huu na hali ya ugonjwa wako inazidi kuwa mbaya Mkuu.
 
Yaani umdhalilishe rais wa shirikisho la mpira halafu uachiwe tu bila ya kuchukuliwa hatua
 
Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana

Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
Hawana fedha
 
Unadhalilisha timu unayoishabikia na kufanya watu wazidi kuamini yale maneno ya Haji Manara ambayo mpaka leo hajawahi kuyakanusha
 
Utashindana nayo lakini hautashinda
FB_IMG_1663792650576.jpg
 
Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana

Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
Umeandika upuuzi mwingi sana na kudhihirisha kuwa huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu.
 
Unadhalilisha timu unayoishabikia na kufanya watu wazidi kuamini yale maneno ya Haji Manara ambayo mpaka leo hajawahi kuyakanusha
Kwani na Rage naye ameshawahi kukanusha yale maneno yake?

Maana haileti mantiki leo mnamponda CEO na kumpigia chapuo Magori! Kesho CEO kapata cheo cha mchongo, watu wale wale mnaanza tena kumwagia sifa kedekede!!

The same kwa kocha wenu Matola!! Akishinda, mnamtaka! Akifungwa tu, mnamuanzishia zengwe.
 
Ukweli mchungu Simba inaendeshwa kwa propaganda Sana

Manara alikuwa na ushawishi Ila wakina amed Ally ni vilaza Sana kwenye kufanya mahojiano na media.

Juzi kasema Mgunda atosha jana anasema simba inatafuta kocha wa viwango ..

Vituko vitupu yaani Mashabiki wa simba wamegeuzwa vilaza Sana

Harsi yeye hataki maneno ni vitendo tu kuwanyoosha

Kufika 2023 tutakuwa tushajua Mbovu na mbichi za ubovu wa simba.
 
Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana

Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
Uto kila ikipitia changamoto inaisingizia simba.
 
Back
Top Bottom