Hii sasa ndio sampuli ya mashabiki wa utopolo! 😆😆😆Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana
Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
Leo huja kunywa dawa zako ulizo pewa kule kwenye ile hospital ya Dodoma,Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana
Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
Hawana fedhaKwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana
Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
Unadhalilisha timu unayoishabikia na kufanya watu wazidi kuamini yale maneno ya Haji Manara ambayo mpaka leo hajawahi kuyakanushaKwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana
Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
Utashindana nayo lakini hautashinda
Umeandika upuuzi mwingi sana na kudhihirisha kuwa huko Yanga wenye akili timamu ni Sunday Manara na Mzee JK tu.Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana
Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
Kwani na Rage naye ameshawahi kukanusha yale maneno yake?Unadhalilisha timu unayoishabikia na kufanya watu wazidi kuamini yale maneno ya Haji Manara ambayo mpaka leo hajawahi kuyakanusha
Mbona haihusiani na uzi wa mtopolo mwenzio?The same kwa kocha wenu Matola!! Akishinda, mnamtaka! Akifungwa tu, mnamuanzishia zengwe.
Ukweli mchungu Simba inaendeshwa kwa propaganda SanaKwani na Rage naye ameshawahi kukanusha yale maneno yake?
Maana haileti mantiki leo mnamponda CEO na kumpigia chapuo Magori! Kesho CEO kapata cheo cha mchongo, watu wale wale mnaanza tena kumwagia sifa kedekede!!
The same kwa kocha wenu Matola!! Akishinda, mnamtaka! Akifungwa tu, mnamuanzishia zengwe.
Uto kila ikipitia changamoto inaisingizia simba.Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana