Naona uto mmekutana mnaofanana uwezo wa kiakili. Huu ni uthibitisho wa kauli ya manara.Ukweli mchungu Simba inaendeshwa kwa propaganda Sana
Manara alikuwa na ushawishi Ila wakina amed Ally ni vilaza Sana kwenye kufanya mahojiano na media.
Juzi kasema Mgunda atosha jana anasema simba inatafuta kocha wa viwango ..
Vituko vitupu yaani Mashabiki wa simba wamegeuzwa vilaza Sana
Harsi yeye hataki maneno ni vitendo tu kuwanyoosha
Kufika 2023 tutakuwa tushajua Mbovu na mbichi za ubovu wa simba.
Hata Manara ni Simba ujue, watafuta wana yanga wenzio uwatolee mfano hapa IL ujenge hoja yakoKwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana
Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
Umetumwa weweKwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana
Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
Walimu wako waliteseka sana aisee![emoji1787][emoji1787]Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana
Kuna mda najiuliza hivi hii ni timu ya mpira au ni kikundi cha siasa
Hii timu imechaguwa saana maneno kuliko vitendo
Watu wamejaa propaganda kuanzia kwenye viongozi mpaka kwa mashabiki
Ata kwenye hili swala la kufungiwa kwa manara watu wanatakiwa waangalie kwa jicho la akili pale kuna uwezekano propaganda fc walichochea hili swala ili kumkomoa manara zaidi
Kwa ufupi timu ya simba ni kikundi cha siasa ambacho kimejingiza kwenye mpira
Na kwa bahati nzuri wana wa kwao mbele ambaye anawasikiliza zaidi
Ina maana bil 20 hujaziona ?Kwanini timu ya simba inaongozwa ki propaganda saana