Kwanini timu za zanzibar hazishiriki Kombe la Azam.?

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,822
Habari za jumapili wanajamvi.
Kama swali linavyo jieleza. Najua kuna taasisi zinazosimamia mchezo wa mpira wa miguu bara na visiwani, !
Je kwanini hawana wazo la kuzifanya timu za mpira wa miguu za zanzibar na za huku bara kukutana katika kombe la Taifa (Azam Cup) ambalo linazikutanisha timu kutoka mikoa yote ya Nchi yetu na Bingwa anashiriki katika mashindani ya kimataifa.
Kombe la shirikisho ambalo kwa msimu huu Tanzania iliwakirishwa na Mtibwa.
Tukiondoa siasa, na faida binafsi za viongozi nadhani mashindani hayo yangetoa fursa nzuri kwa wachezaji wa zanzibar kuonekana na kupata uzoefu bara!
Na nafasi ya kuonekana katika mashindano makubwa zaidi ya kimataifa.
Bila kusahau kuwa mashindano haya yangesaidia zaidi kuboresha. Uzalendo wetu kama Watanzania. Kombe la Mapinduzi linaweza kuwa na Mchango wa Uzalendo lakini Kombel la Taifa/ Azam Cup ingeweza kuwa na mchango mkubwa zaidi.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi napinga. Timu za zenji zikomae zenyewe angalau timu 3 ziwekeze yaani ziwe na uwezo wa kusajili kama simba/yanga/azam la sivyo hakutakuwa na jipya. Tiketi ya kuonekana kimataifa wanayo maana wanashiriki mashindano ya caf klabu. Kuhusu uzalendo usihofu maana tumechanganyana nao kwenye baraza la mawaziri na serikali kwa ujumla.
 
Mkuu mshindi wa kombe la Azam ana shiriki mashindano ya Caf confederation kwa uku bara.
Zenj wao tayari ni wanachama wa Caf kwahiyo wana namna yao ya kupata mshiriki wa mashindano hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawe mkuu lakini kwa mtazamo wangu nahisi Zanzibar inapotea katika ramani ya mpira wa miguu.
Ni kweli wanaweza kuwa na namna yao lakini endapo wangekuwa wanashiriki katika haya mashindano ya bara ingeleta msisimko zaidi.
Nakumbuka enzi zile za small simba na Malindi football club zilivyo iwakilisha vema zanzibar.sikumbuki lilikuwa ni kombe gani lakini ligi ile ilifanya timu za Zanzbr kusikika hata kwa sisi ambao kwa wakati huo hatukujua zanzibar iko wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi napinga. Timu za zenji zikomae zenyewe angalau timu 3 ziwekeze yaani ziwe na uwezo wa kusajili kama simba/yanga/azam la sivyo hakutakuwa na jipya. Tiketi ya kuonekana kimataifa wanayo maana wanashiriki mashindano ya caf klabu. Kuhusu uzalendo usihofu maana tumechanganyana nao kwenye baraza la mawaziri na serikali kwa ujumla.
Mkuu unawekeza vip katika ligi isiyokuwa na ushindani.? Nani ataenda kuwekeza mahali ambapo anafahamu fika kuwa mchezo huo ukichezwa watazamaji kwa mwaka mzima hawatafika hata laki tano?
Mchezaji yupi wa bara maarufu uliyemsikia kasajiliwa na timu ya kutoka zanzibar?
Wataweza hivyo wakikubali kushuka na kuruhusu ama TFF liwe shirikisho la Tanzania nzima, na ZFF iwe sawa na KFA.yaani kilimanjaro Football Association..
Au chama cha mkoa mwingine wowote na mpira wetu Nchi Nzima bara na Visiwani uongozwe na TFF chini ya Rais mmoja wa shirikisho. Hapo twaweza pata rythm halisi ya Tanftball.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mashindano yanaandaliwa na Chama cha Soka Tanzania bara, TFF.

Timu za Zanzibar ziko chini ya chama cha soka cha Zanzibar ZFA, mashindano huitwa kwa jina la Azamu, sababu ndiyo wadhamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Je hakuna uwezekano wa watu hawa kuongea kuhusu uwezekano wa vyama vyao kushirikiana.

Yapo wanayoshirikiana, na hivi unajua Zanzibar, inatoa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, Ikiwa ni Club bingwa na Shirikisho.

Bara nako hutoa timu mbili Club bingwa na shirikisho, sasa chama cha mpira bara TFF, wao wameamua anashiriki shirikisho, atoke kwenye mashindano haya ya kombe la TFF.

Muhimu hapa labda kuishauri TFF, anaeshiriki Shirikisho iwe anatoka kwenye ligi kuu, badala ya mashindano haya, ambayo yanashirikisha vilabu vya madaraja tofauti.

Hata tunakoiga hakuna timu ya daraja la chini, inayoshiriki mashindano ya kimataifa, tena wenzetu timu zao zina uwezo wa kipesa pia.

Leo hii timu za ligi kuu, zenyewe zinaunga unga tu pesa, je ikipenya kiluvya UTD, itakuwanye.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huko mwanzo CAF, Zanzibar, hawakua wanachama wa CAF, kwa hiyo washiriki wa Mashindano ya kimataifa toka Tanzania, walikua wanatokea kwenye mashindano ya Muungano.

Timu mbili za nafasi ya juu, kila upande ndizo, ndizo hushinda na washindi wa wawili hucheza kilabu bingwa, na kombe la washindi, likitwa hivyo wakati huo.
 
Hilo ndilo lililokuwa wazo langu wakati ule wa kombe la Muungano na bingwa na mshindi wa pili kushiriki mashindano ya kimataifa zanzibar ilikuwa inapata uhai wa soka.!
Leo hii zanzibar haina tena ule uhai wa soka ulio kuwepo enzi zile.
Bado naamini kung'ang'ania Zanzibar kuwa mwanachama wa vyama vya mpira vya kimataifa kama CAF na FIFA ni kwa faida ya viongozi na sio wachezaji wenyewe.
Viongozi wanafahamu fika kuwa mara watapopewa nafasi ya kuwa uanachama watafaidika vip kwa nafasi hizo maslahi binafsi lakini kwa mchezaji wa mpira bado naamini kama mashindano ya mpira wa miguu yangekuwa chini ya shirikisho moja lenye nguvu na ligi ya Nchi nzima wachezaji wa Zanzibar wangepata nafasi bara na hatimaye kwa mataifa ya Nchi ikiwemo Ulaya.
Sioni ni faida ipi ZFA inayowapa wachezaji wa Zanzibar kwa kuwa wanachama wa CAF au FIFA. Zaidi ya kuwatenga mbali zaidi na uwanja halisi wa mpira.

Ni kweli, kabisa wakati ule, Zanzibar ilikua vizuri sana kwenye mpira wa miguu, unajua viongozi wa soka wa Zanzibar, Wanaliangalia soka kwa mtazamo wa kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madam wapo humu na wanasikia ni vema wakajua kuwa siasa hawaiwezi na hawata kuja kuiweza zaidi wana haribia future vijana wao kwa ung'ang'anizi usio kuwa na faida.
Kama zanzibar ingekuwa imara na nguvu kisoka leo hii Nadir Haroub asingekuwa bara angekuwa huko huko Zenj, na hata Bwana mdogo Faisal Salum ameanza kusikika na kung'aa baada ya kuja bara walikuwepo akina Choro na wengineo huenda Zanzibar kuna vipaji zaidi ya hivi lakini kwa sabbu ya Ujuha wa viongozi wao wanazidi kupotea na kuishia kucheza cha ndimu pale Gymkhana Jioni. Kisha wakanywe urojo michenzani au forodhani
Story imekwisha.

Tuombe kheri wasome maoni, ya wadau na wayasome.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapo wanayoshirikiana, na hivi unajua Zanzibar, inatoa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, Ikiwa ni Club bingwa na Shirikisho.

Bara nako hutoa timu mbili Club bingwa na shirikisho, sasa chama cha mpira bara TFF, wao wameamua anashiriki shirikisho, atoke kwenye mashindano haya ya kombe la TFF.

Muhimu hapa labda kuishauri TFF, anaeshiriki Shirikisho iwe anatoka kwenye ligi kuu, badala ya mashindano haya, ambayo yanashirikisha vilabu vya madaraja tofauti.

Hata tunakoiga hakuna timu ya daraja la chini, inayoshiriki mashindano ya kimataifa, tena wenzetu timu zao zina uwezo wa kipesa pia.

Leo hii timu za ligi kuu, zenyewe zinaunga unga tu pesa, je ikipenya kiluvya UTD, itakuwanye.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huko mwanzo CAF, Zanzibar, hawakua wanachama wa CAF, kwa hiyo washiriki wa Mashindano ya kimataifa toka Tanzania, walikua wanatokea kwenye mashindano ya Muungano.

Timu mbili za nafasi ya juu, kila upande ndizo, ndizo hushinda na washindi wa wawili hucheza kilabu bingwa, na kombe la washindi, likitwa hivyo wakati huo.
Miaka hii ya 2010's Birmingham iliyokuwa Championship (ligi daraja la kwanza) ilicheza Europa league. So huwa inatokea. Ninachopinga huu utaratibu wa mshindi wa FA kuwakilisha kimataifa umekuja mapema. Ilikuwa walau tuwe na nafasi tatu za ushiriki mbili zitoke ligi kuu moja FA.

Ujue kuna utofauti mkubwa kuipata nafasi ya pili ligi kuu na kushinda FA. Ukizingatia FA mechi ni moja ukipigwa No rematch. Rejea kilichomkuta Simba na Mashujaa fc. Siamini kama Mashujaa Fc waliwazidi mbinu Simba ila ni makosa tu ninafsi ya wachezaji wa Simba ambayo hawatapata nafasi ya kusahihisha hadi msimu mwingine.

Kinachouma ni pale timu yenye kikosi bora kama Simba itapokosa nafasi kwenda kimataifa halafu nafasi yake ikachukuliwa na Mighty Elephants ya huku Songea. TFF wanapaswa waliangalie hili jambo.
 
Mwaka jana ktk ASFC YANGA alikutana na MWADUI ya Jamhuri Kihwelu (Asst. Coach Mwanamtwa Kihwelu)! YANGA alipenya kwa mbinde sana! Na mwadui waliamini Yanga inabebwa! Mwanamtwa Ktk malalamiko ya kwa referee, anasema referee alimjibu kuwa MNATAKA MSHINDE, MTAWEZA KUWAKILISHA NCHI HUKO DUNIANI?
 
Back
Top Bottom