Kwanini timu zinazomilikiwa na majeshi hazidumu kwenye ligi na zina matokeo mabovu?

Jambo lolote linalomilikiwa na zaidi ya mtu mmoja ni kazi sana kutoboa. Hv Kwan hao simba na yanga bila kuja kwa usimamizi wa mtu mmoja kama mo na gsm siilikuwa upigaji tu
 
Bado kuna upigaji ila sio kama team za majeshi zinaupigaji mwingi mno[emoji706][emoji706]
 
Halafu bwege Moja likawa linataka Taifa stars ivunjwe, halafu Timu ya jeshi ndio iwe ya Taifa. Yani Kuna midude ya ajabu
 
Back
Top Bottom