Kwanini topic haipo kwenye syllabus lakini kwenye mtihani unaikuta

Battery low

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
315
Reaction score
27
nimeipenda sana hii comment Threesixteen Himself :behindsofa:
 
Last edited by a moderator:
we sema wamevitoa uje uvukute utajuta.unafahamu maana ya extra curriculum
 
Kwenye bold una maana 'vimeondolewa'?
 
ukishamaliza syllabus anza kutafuta extra topics&subtopics unazoziona kwenye past papers usisubiri hadi uambiwe amuru mawe haya yawe mkate coz necta wana technique nyingi sana za kuzubaisha watu ili mwisho wa siku dv3,4 na zero ziwepo tu..
 
ndo maana TO mmoja mkifundishwa vyote vitakavyotokaa mtafaulu sana..
 
ndo maana TO mmoja mkifundishwa vyote vitakavyotokaa mtafaulu sana..
Nimekuelewa sana mkuu,dah!
ukishamaliza syllabus anza kutafuta extra topics&subtopics unazoziona kwenye past papers usisubiri hadi uambiwe amuru mawe haya yawe mkate coz necta wana technique nyingi sana za kuzubaisha watu ili mwisho wa siku dv3,4 na zero ziwepo tu..
ushaur mzur, asant mkuu
 
!
!
kwa sababu kuna mambo ambayo hata kwenye familia yenu hayapo lakini utakutana nayo na utatakiwa kupambana nayo. Mtihani una maana pana sana, sio swala la kujibu maswali tu. Ni kupima jinsi gani unaweza kukabiliana na changamoto mbalimbali maishani na ndio maana tuna kitu siku hizi kinaitwa competence based education and training ,cbet badala ya knowledge based one.
Katika field au kazini hayaletwi maswali mdogo wangu, yanakuja matatizo tena matatizo mengine mapya yanayohitaji utatuzi wako usije sema hujafundishwa. Better be ready.
Am out.
 
!
!
mfano maswali ya kuchagua jibu sahihi maana yake katika maisha ni kumjengea mwanafunzi uwezo wa kuchagua kati ya altenative zilizopo kutatua tatizo fulani...kuwa na uwezo wa kutumia rasilimali ulizopewa kutatua tatizo fulani. Kwa hiyo kuna maana pana nyuma ya pazia ambayo huwezi kuiona kwa urahisi hasa kama wewe ni mwanafunzi.
 
ukishamaliza syllabus anza kutafuta extra topics&subtopics unazoziona kwenye past papers usisubiri hadi uambiwe amuru mawe haya yawe mkate coz necta wana technique nyingi sana za kuzubaisha watu ili mwisho wa siku dv3,4 na zero ziwepo tu..

ukweli mchungu huu bila shaka
 
Good idea I like
 
lakini hilo ni tatizo, usahihi ni kwamba mitihani inapaswa kutoka ndani ya syllabus, huo ndo mwongozo wa kila mwalimu kuwaelekeza wanafunzi. Mitihan kutoka nje ya syllabus ni makosa, na hili limekuwa tatzo la waalimu wengi wanaotunga mitihani kukosa umakini.
 
mkuu kwan wakiwa wanatunga mtihani huwa hawaangalii kile kitabu cha muongoz wa syllabus?
 
ukweli mchungu huu bila shaka

kweli mkuu.,mfano necta2013 geo I qstn no5 explain factors affecting salinity of the ocean(six points).,hapa wengi waliishia kutoa point tatu (temperature,addition of fresh water,nature of parent rock) ambazo zimo kwenye vitabu vingi vya physical geo...
 
hahaha dah!
 
Kimsingi ni kwamba muda mwingine huwa hawazingatii content iliyopo kwenye syllabus na ndo maana wanatunga vitu vingine ambavyo vipo nje ya syllabus. Lakini hili ndio mimi nasema ni ukosefu wa umakini kwasababu kufanya hivyo sio sahihi, kwani mwalimu anaongozwa na syllabus kuhakikisha wanafunzi wanajua mada kutokana na matakwa ya syllabus.
mkuu kwan wakiwa wanatunga mtihani huwa hawaangalii kile kitabu cha muongoz wa syllabus?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…