Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
Habari za asubuhi wakuu.
Naomb kuuliza hivi hawa NECTA na baraza la elimu kwanini huwa wanafanya hivyo? Yaani huwa kuna baadhi ya vitu havipo kwenye syllabus na vingine huwa wanavitoa lakini cha kustaajabisha ukiingia kwenye mitihani yao unavikuta kwa mfano chemistry acsee2014 kuna vitu mwalimu wetu ametutajia(nimevisahau) vimetolewa kwenye syllabus lakini kwenye hilo paper vimetoka!! Hivi wana madhumuni gani hasa ya kufanya hivi?
nimeipenda sana hii comment Threesixteen Himself :behindsofa:!
!
kwa sababu kuna mambo ambayo hata kwenye familia yenu hayapo lakini utakutana nayo na utatakiwa kupambana nayo. Mtihani una maana pana sana, sio swala la kujibu maswali tu. Ni kupima jinsi gani unaweza kukabiliana na changamoto mbalimbali maishani na ndio maana tuna kitu siku hizi kinaitwa competence based education and training ,cbet badala ya knowledge based one.
Katika field au kazini hayaletwi maswali mdogo wangu, yanakuja matatizo tena matatizo mengine mapya yanayohitaji utatuzi wako usije sema hujafundishwa. Better be ready.
Am out.
Last edited by a moderator: