Kwanini Toyota Carina TI ina BEI kuliko IST??

Maana kwa kuangalia ivo BMW 3 series za 2005-2008 zipo bei ndogo kuliko IST.
 
Hiyo gari imenilea Kwa miaka zaidi ya mitano 5...
Acha nikupe sifa Kwanza kadhaa ili uone namna gani hiyo gari itazidi kuwa juu dhidi ya IST
1) Engine ni cast iron ya 5A
2) Ni rahisi kufanya tuning Kwa wale watu wa mbio
3) Body yake ni aluminium na steel
4) Gear box yake imetengenezwa Kwa mfumo wa stainless steel

Hii gari kama engine oil imepungua zaidi ya nusu lita unaweza kuongezea MAFUTA YA ALIZETI na ukafika uendako bila shida...

Hii ni gari imara kushinda MV LIEMBA
 
Tuliwahi kuwa nayo 2003 namba AAG hadi leo ipo na ishauzwa kwa watu 7 na ajali 4
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]MAFUTA YA ALIZETI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haya haya ya wanyiramba??
 
Asante bro. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…