Kwanini Toyota Carina TI ina BEI kuliko IST??

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tawireeee mkuuu, mafta ya kula!!! Hii chuma mnaeza peana vizazi vitatu
 
Halafu mnakuja sema magari ya Ujerumani sijui mabovu kumbe watu mnafanya vituko.. We uweke mafuta ya alizeti kwenye gari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
IST inapendwa sana aise..
Kuna gari kama run x nzuri kweli na ina design nzuri mafuta inatumia vzur sana ila Ist ni inapendwa balaa
Inabidi kampeni ya tokomeza IST ianze.. Hatchback nzuri zipo nyingi ila bado limbwata la IST linafanya kazi.
 
😁 😁 😁 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…