Kwanini Toyota Premio siku hizi zinapendwa sana?

Grand ipi?
Mark II ama,suzuki
 
Premio new model ama?
 
Kwa hiyo ukaona uchukulie mfano wa ist je mwenye land cruiser atasemaje Kuna watu Wana magari yao yamaana tu wametulia Wew unaringia premio
 
mkuu mm yangu haijawah kufika apo na ni namba E au umeangalia figure za mitandaoni, mm inatembea 11.5km/l in highway 1500cc kama kuna mtu ana data ambazo ni practical aseme kwa upande wake inatembea km ngp kwa lita
Ya jamaa yangu ni 1.8L ndio inampa hio range
 
Na sasa hv kuna wimbi la kununua magari yanayofanana hususani kwa waajiriwa wa serikalini,mfano waalimu wengi wana premio na ist,
tofauti ya izo gari ni body tuu vingine vyote vipo sawa sema tu wabongo wanapenda premio kuliko allion
 
mkuu mm yangu haijawah kufika apo na ni namba E au umeangalia figure za mitandaoni, mm inatembea 11.5km/l in highway 1500cc kama kuna mtu ana data ambazo ni practical aseme kwa upande wake inatembea km ngp kwa lita
Kuna uendeshaji pia boss. Highway hizi gari za cc 1490 kushuka ukiendesha above 100 inaongeza consumption tofauti na ukiendsha speed 70,80 and below
 
Kuna uendeshaji pia boss. Highway hizi gari za cc 1490 kushuka ukiendesha above 100 inaongeza consumption tofauti na ukiendsha speed 70,80 and below
uko sahihi ila kwa nilivoona haitofautiani sana utofauti ni very insignificant ata uamue usivuke 2rpm haizid apo consumption yake labda kama kuna mtu mungine ana actual figure ya consumption ya premio kwa wenye magar ya premio tofauti na theoretical figure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…