Kwanini Toyota Premio siku hizi zinapendwa sana?

uko sahihi ila kwa nilivoona haitofautiani sana utofauti ni very insignificant ata uamue usivuke 2rpm haizid apo consumption yake labda kama kuna mtu mungine ana actual figure ya consumption ya premio kwa wenye magar ya premio tofauti na theoretical figure
Insignificance sidhani kama ni term sahihi, kwa uzito tofauti wa hizi gari ni lazma utofauti uweko
 
Allion ni successor wa Toyota Carina, sidhani kama wengi wanalifahamu hili. Its a sport version car while premio ni semi luxury car.
Mimi nilikuwa mpenzi wa premio ila nilikuja kuipata allion new model ambaye ni kama ile premio new model , allion ni super
 
Allion 18 bila shaka, ile gari iko Super sana.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hivi kuna matoleo mangapi ya Premio???

Je toleo gani ni zuri kuliko mengine???
kuna matoleo mawili tuu yaan first and second generation
first gen ni from 2001 to 2007, apa zimegawanyika kidgo 2001 to 2004 then 2005 to 2007 they do some minor modifications inaitwa facelift like kubadilisha muundo wa taa kidgo but they use same engine platforms
second gen is from 2007 up to 2021 zina modifications kwa body and engines na muonekano ni tofauti sana na first gen
From 2021 premio and allion zimekua dicontinued hazitengenezwi tenao
 
Hivi kuna matoleo mangapi ya Premio???

Je toleo gani ni zuri kuliko mengine???
second generation ni toleo zuri kwa sababu liko more modernized na kimuonekano ni super, japo wabongo wengi hawako tayar kutoa milion 25 au 30 anunue sedan ni bora tu anunue harrier au gar zingine za juu ndo mana izi second gen sio nyingi mtaani japo watu wanazipenda
 
kuna matoleo mawili tuu yaan first and second generation
first gen ni from 2001 to 2007, apa zimegawanyika kidgo 2001 to 2004 then 2005 to 2007 they do some minor modifications inaitwa facelift like kubadilisha muundo wa taa kidgo but they use same engine platforms
second gen is from 2007 up to 2021 zina modifications kwa body and engines na muonekano ni tofauti sana na first gen
From 2021 premio and allion zimekua dicontinued hazitengenezwi tenao
Umeshafeli, hii nayo ni nini? Ni ya mwaka 1996
images.jpeg
 
K
second generation ni toleo zuri kwa sababu liko more modernized na kimuonekano ni super, japo wabongo wengi hawako tayar kutoa milion 25 au 30 anunue sedan ni bora tu anunue harrier au gar zingine za juu ndo mana izi second gen sio nyingi mtaani japo watu wanazipenda
Ni ngumu aise million 25 ni bora nivute forester mpya kutoka Japan
 
Back
Top Bottom