Boss, Engine ya premio ni common kwenye magari ya toyota ndo hiyo hiyo ipo kwenye Ist, raum n.k hayo ndo magari ya watanzania, yanafahamika na wengi.uko sahihi ila kwa nilivoona haitofautiani sana utofauti ni very insignificant ata uamue usivuke 2rpm haizid apo consumption yake labda kama kuna mtu mungine ana actual figure ya consumption ya premio kwa wenye magar ya premio tofauti na theoretical figure
mkuu mm yangu haijawah kufika apo na ni namba E au umeangalia figure za mitandaoni, mm inatembea 11.5km/l in highway 1500cc kama kuna mtu ana data ambazo ni practical aseme kwa upande wake inatembea km ngp kwa lita
Mkuu hata yangu pia inatatizo hilo, service ulioshauri ifanyike ni ipi haswa?.Mkuu Premio 1490 cc natembea 15-17km/L
Fanya service iyo gari haiko nahisi haiko sawa ,
Yangu namba DB inatembea kilomita 7 kwa litaMkuu hata yangu pia inatatizo hilo, service ulioshauri ifanyike ni ipi haswa?.
Tatizo la Allion bodu yake ni maplastic mengi, yanawahi kutepeta hasa bumper za mbele na Nyumba. Tofauti na Premio.Sijawahi ona mkidiskasi Allion but, ipo vzr mno,
nimekupata mkuuBoss, Engine ya premio ni common kwenye magari ya toyota ndo hiyo hiyo ipo kwenye Ist, raum n.k hayo ndo magari ya watanzania, yanafahamika na wengi.
Utofauti unaonekana pale unapoendesha km nyingi. Kama ww unaendesha pungufu ya km 0.5 zaidi ya mwenzako basi mkiendesha km nyingi utofauti utauona kwa hiyo huwezi sema ni theoretical.
Pamoja bossnimekupata mkuu
nishaipeleka service nimebadilika fluid izo umetaja plug sikubadilisha, gear inabadili bila tatizo na kama nilivosema ni namba E niliiagiza mwenyewe japan so bado ipo in very good conditionKikubwa sana
Fundi akague gari kitaalam atajua tatizo
Ila kwa experience yangu kene premio
Haina umeme mwingi kama mzungu so matatizo mengine yanaweza yasiwashe check engine ila utaona changes kuanzia mlio,moshi,engine sound,fuel consumption pamoja na kuchelewa kubadili gear
Vitu ambavo mi nashauri ufanye service ni
-engine oil+filter ikiwwzekana ATF
-air filter
-sparks plug
-ignition coils
-Oxygen sensor
embu ongezea ndoto yako mkuu ifanye kua kubwa premio iwe ni kama njia tuu its a very normal car kua ndio ndoto yakoPremio it's my dream car
Mzee mbuzi anakula kulingana na urefu WA kamba mtu anamiliki Gari pikipiki ana mishe zake anajiingizie kipato iwe Kigali ama si Kihalali huyo sio maskini Mzee BabaKwasababu maskini wanapenda kuigana.
Land Cruiser discovery 4embu ongezea ndoto yako mkuu ifanye kua kubwa premio iwe ni kama njia tuu its a very normal car kua ndio ndoto yako
Premio hyo ama crown?Yangu namba DB inatembea kilomita 7 kwa lita
Gari nzuri sana hususani hizi new model zina good lookPremio it's my dream car
Land rover disco 4...Land Cruiser discovery 4
Mi nakwenda nayo Shambani msimu wa kilimo wakat wa mavuno naipa had gunia tano za mahindi na mwaka wa tano huu no shockup kuchoka n mwendo wa kumwaga oil tuPremio ni gari ambayo ipo sport kwa namna moja ama nyingine pia iko na engine za aina mbili cc 1490 na cc 1790 ambapo cc ndogoo inatumia mafutaa vzr mnoo low consumption high efficiency pia n gari ambayo imekaa kiumee achanaz na hiz baby worker kina passo, Ractis, na Ist nmechomekea ty wenye ist msinipige
Note: Premio n ngumu inastaimili barabara zetu kiufupi Premio n crown iliyozubaaaa
Haswaaaaaa na umbo lake n saloon achan na sedan gari za kidadaMi nakwenda nayo Shambani msimu wa kilimo wakat wa mavuno naipa had gunia tano za mahindi na mwaka wa tano huu no shockup kuchoka n mwendo wa kumwaga oil tu