Kwanini Toyota wanapanga kusitisha kuzalisha V8

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Mwaka huu mwezi wa Tatu ndo mwisho wa Kuzalisha ToyotaLand cruiser 200 series V8, na hii imepelekea watu wengi ku oda za mwisho mwisho.

Kumekuwa pia na malalamiko mengi na wengi wakiamini haya Magari ndo king of road.

images%20(55).jpg
images%20(56).jpg
 
Mwaka huu mwezi wa Tatu ndo mwisho wa Kuzalisha ToyotaLand cruiser 200 series V8, na hii imepelekea watu wengi ku oda za mwisho mwisho.

Kumekuwa pia na malalamiko mengi na wengi wakiamini haya Magari ndo king of road.

View attachment 1690899View attachment 1690902
Ikiwa ni kweli, basi wakuu wa nchi za ki Africa watateseka nafsi sana. Haya maguruwe huwafanya kuwa vipofu hata kufikia kuwaua ndugu zao kisa V8

Odhis *
 
mbona magari ya fahari yapo mengi tu?!?, watanunua hata ford za kimarekani. Hata hivyo naamini toyota watakuja na toleo jipya expensive zaidi na africa itahamia huko
 
Back
Top Bottom