Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaijua Vi-EiTe wewe?Wakurugenzi Wanafurahi Maana Mwaka Huu Walikosa Raha Kisa V8
Ikiwa ni kweli, basi wakuu wa nchi za ki Africa watateseka nafsi sana. Haya maguruwe huwafanya kuwa vipofu hata kufikia kuwaua ndugu zao kisa V8Mwaka huu mwezi wa Tatu ndo mwisho wa Kuzalisha ToyotaLand cruiser 200 series V8, na hii imepelekea watu wengi ku oda za mwisho mwisho.
Kumekuwa pia na malalamiko mengi na wengi wakiamini haya Magari ndo king of road.
View attachment 1690899View attachment 1690902
😅😄😃😂😁😀😅😄😃😂😁😀😆😉Unaijua Vi-EiTe wewe?
mbona magari ya fahari yapo mengi tu?!?, watanunua hata ford za kimarekani. Hata hivyo naamini toyota watakuja na toleo jipya expensive zaidi na africa itahamia hukoIkiwa ni kweli, basi wakuu wa nchi za ki Africa watateseka nafsi sana. Haya maguruwe huwafanya kuwa vipofu hata kufikia kuwaua ndugu zao kisa V8
Odhis *
Unayajua mavietii wewe?
Gx v8 baba laoHivi ile GXR V6 yenyewe bado inazalishwa?
Unachelewa kuijua Dunia ya magari mkuuMjomba ni hio 200 series tu ndo inaisha inakuja 300 Series mjomba....kaaa mkao wa kula ingawa sijawahi yapenda haya ma V8 sijui 200 series