Kwanini Toyota wanapanga kusitisha kuzalisha V8

Engine zimekuwa advanced na refined kiasi kwamba hakuna tena haja ya engine kubwa kwenye segment ya luxury cars
Wanapositisha hiyo v8 kwenye 200 series , 300 itakapotoka itakuja na V6 configuration ambayo inasemekana ni efficient kuliko hiyo v8
 
Power output ni ileile?
 
Toyota watakuja na small engine say 2400 cc, twin turbo, hybrid ( more of electric plus little fuel) na horse power kubwa kuliko hiyo ya V8 VXR, more speed say 300km/hr and more fuel efficient, eg 6km per liter. Alafu bei itakuwa ghali kuliko ya sasa, alafu shape kalii balaa. Sasa waafrika tutamaliza hela huko
 
Itakuwa balaa
 
Hapa naomba mnisaidie kuelewa... Je, V8 ni aina ya gari au ni aina ya engine? Siku zote mimi nimekuwa nikijua kuwa V8 ni aina ya engine (eight cylinders) na zipo kwenye seeies mpaka V12 (kwenye supercars). Mwenye utaalamu atupe darasa tafadhali
 
Kama magari yanahamia kwenye umeme, Afrika tunamipango gani na barabara zetu! Au tutawaomba wajapani sisi watuundie ya mafuta wao waendelee na magari yao huko huko sisi umeme ni anasa.

Wanasiasa wa Afrika watafamyaje wakiambiwa kuwa teknolojia ya fuel engine inawekwa makumbumbusho kama ilivyokuwa steam engine miaka ya 1800s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…