OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Wewe haupo kwenye sekretarientii huezi endesha vieitee wewe..Mjomba ni hio 200 series tu ndo inaisha inakuja 300 Series mjomba....kaaa mkao wa kula ingawa sijawahi yapenda haya ma V8 sijui 200 series
Humu watu wanaendesha mavieitii tuuJF watu wana pesa balaaa.
HahahahahaWayafungie tu, maana yamenyonya kilimo cha wanyonge hadi yenyewe ndo yakaonekana kama kilimo kwanza, unaijua vii eite lakini...
Kwani hizo V8 wasingeweza kuzitengenezea mfumo wa umeme?!Kuna gari za umeme....
wameusoma mchezo...
Nani anataka hizo unreliable cars(Ford) mkuu?mbona magari ya fahari yapo mengi tu?!?, watanunua hata ford za kimarekani. Hata hivyo naamini toyota watakuja na toleo jipya expensive zaidi na africa itahamia huko
We utakuwa mwenzangu mimi usiye na Vii eiti! Hapa mwenzako donge la wivu limevimbaaa!JF watu wana pesa balaaa.
V8 is better than V6 kwa kila namna except fuel consumptionEngine zimekuwa advanced na refined kiasi kwamba hakuna tena haja ya engine kubwa kwenye segment ya luxury cars
Wanapositisha hiyo v8 kwenye 200 series , 300 itakapotoka itakuja na V6 configuration ambayo inasemekana ni efficient kuliko hiyo v8
Hapana mkuu nimesoma sehemu kadhaa kuwa V8 is no more kwenye 300 seriesToyota wanakuja na toleo jipya hivyo zitkauja v8 300 series
Ni kweli.V8 is better than V6 kwa kila namna except fuel consumption
Kuna mwenzako aliuliza pale juu , inaonekana na wewe una shida hiyoMkuu toyota hawawezi kuacha kuazalisha gari ya gharama na inayotesa soko la Australia na Afrika kirahisi tu hivi.
Wanachofanya nu kwamba wanakuja na 300 series ambayo inakuwa announced mwezi wa 6 mwaka huu
Mkuu nakubaliana na wewe 100% , shida ni kuwa soko ndio lina dictate aina ya product kuwepo hapo , mashabiki wa v8 tupo , hata nice ni mmoja wapo , lakini soko linataka fuel efficient na less carbon footprintsV8 is better than V6 kwa kila namna except fuel consumption
Siku hizi kuna 2L engines zinatoa hp kubwa kuliko hizo V8.Mkuu nakubaliana na wewe 100% , shida ni kuwa soko ndio lina dictate aina ya product kuwepo hapo , mashabiki wa v8 tupo , hata nice ni mmoja wapo , lakini soko linataka fuel efficient na less carbon footprints
Ni kama vile boeing 747 inavyoondoka anagani , very reliable lakini soko halitaki tena ndege za engine 4 ku safirisha abiria . Ukiangalia final trips za ndege hizo utaona umati unavyojawa na simanzi , same applies kwa V8 za Toyota.
Imara si hizi za sasa ni previous versions za mwaka 2000 kurudi nyumaHaifikii 200 siries lakini, haya ni imara sana
Umeelezea vizuri mno! Ila nadhani mchangiaji alitaka kujua kwa nn hayo magari yamekuwa maarufu kwa kuitwa jina la injini kuliko jina la gari yenyewe ikiwa muundo wa injini hyo umetumia kwenye magari tofauti tofauti,km Ford, Chevrolet, Benz n.kV8 ni engine !!, hii imetokana na V configuration, Toyota walianza kutumia hii configuration toka Miaka mingi nyuma kwa engine za 1 and 2 Uz sema hizi zilikuwa ni petrol zilikuwa very heavy kwenye ulaji wa mafuta ,
Mwaka 2009 ndo Ikaja 1vd ambayo ni diesel version ya v8 kutoka Toyota , hii ndo imekuwa maarufu kutokana na kuwa na power combined with fuel efficient.
Yap zipo Hadi v12 kwenye super cars , na v20 kwa engine za meli ,
Siku hizi kuna 2L engines zinatoa hp kubwa kuliko hizo V8.
Kuna V6 zinatoa hp kubwa ajabu. Binafsi sipendi engine kubwa isiyo na faida. Ukichanganya na umbo baya la hilo gari, bora liondoke kabisa sokoni.
Ndo engine zinazokuja sasa hivi.Engine ndogo yenye turbo wala haiko confortable barabarani ikiwa kwny high RPM yaani inakua ina struggle kishenzi,kitu V8 dude lina cc 4600,no turbo/supercharger ukiendesha dude liko smooth kishenziiiiiiiiii,hata ukiwa kwny high RPM hali struggle wala nini.
Uko sahihi sana , engine ndogo ikiwa na nguvu nyingi haiwi comfortable , ratling za kutosha due to heavy vibrations , ndio sababu engine Kama 4m51 ya mitsubishi ina shaft balance Ili kupunguza vibrations .Engine ndogo yenye turbo wala haiko confortable barabarani ikiwa kwny high RPM yaani inakua ina struggle kishenzi,kitu V8 dude lina cc 4600,no turbo/supercharger ukiendesha dude liko smooth kishenziiiiiiiiii,hata ukiwa kwny high RPM hali struggle wala nini.
Nafikiri nimeeleza , ni kwamba V8 iliyopata umaarufu kwenye magari madogo ni hii diesel version kutoka Toyota (1vd ) sababu kubwa hii ndo engine pekee kubwa ambayo ime combine power na fuel efficient .Umeelezea vizuri mno! Ila nadhani mchangiaji alitaka kujua kwa nn hayo magari yamekuwa maarufu kwa kuitwa jina la injini kuliko jina la gari yenyewe ikiwa muundo wa injini hyo umetumia kwenye magari tofauti tofauti,km Ford, Chevrolet, Benz n.k
Hapa JF hata ukiweka story za lamborgini watu wata discuss bila shida tuWe utakuwa mwenzangu mimi usiye na Vii eiti! Hapa mwenzako donge la wivu limevimbaaa!