Kwanini Toyota wanapanga kusitisha kuzalisha V8

Kwanini Toyota wanapanga kusitisha kuzalisha V8

Mjomba ni hio 200 series tu ndo inaisha inakuja 300 Series mjomba....kaaa mkao wa kula ingawa sijawahi yapenda haya ma V8 sijui 200 series
Wewe haupo kwenye sekretarientii huezi endesha vieitee wewe..
Unayajua mavieitee wewe??
 
mbona magari ya fahari yapo mengi tu?!?, watanunua hata ford za kimarekani. Hata hivyo naamini toyota watakuja na toleo jipya expensive zaidi na africa itahamia huko
Nani anataka hizo unreliable cars(Ford) mkuu?
 
Ngoja kiduku lilo aje athibitishe kama ni kweli mwenye RR na Cadillac Jf nzima ukibisha hiyo kwio.

Navyo jua biashara ya magari ni sawa na simu, wakiacha toleo hili jua jingine lipo njiani linakuja
 
Engine zimekuwa advanced na refined kiasi kwamba hakuna tena haja ya engine kubwa kwenye segment ya luxury cars
Wanapositisha hiyo v8 kwenye 200 series , 300 itakapotoka itakuja na V6 configuration ambayo inasemekana ni efficient kuliko hiyo v8
V8 is better than V6 kwa kila namna except fuel consumption
 
Mkuu toyota hawawezi kuacha kuazalisha gari ya gharama na inayotesa soko la Australia na Afrika kirahisi tu hivi.

Wanachofanya nu kwamba wanakuja na 300 series ambayo inakuwa announced mwezi wa 6 mwaka huu
Kuna mwenzako aliuliza pale juu , inaonekana na wewe una shida hiyo
V8 ni aina ya engine , sio gari, Toyota hawajasitisha kutengeneza land cruiser Ila inasemekana kuwa 300 series haitakiwa na option ya V8 engine
 
V8 is better than V6 kwa kila namna except fuel consumption
Mkuu nakubaliana na wewe 100% , shida ni kuwa soko ndio lina dictate aina ya product kuwepo hapo , mashabiki wa v8 tupo , hata nice ni mmoja wapo , lakini soko linataka fuel efficient na less carbon footprints
Ni kama vile boeing 747 inavyoondoka anagani , very reliable lakini soko halitaki tena ndege za engine 4 ku safirisha abiria . Ukiangalia final trips za ndege hizo utaona umati unavyojawa na simanzi , same applies kwa V8 za Toyota.
 
Siku hizi kuna 2L engines zinatoa hp kubwa kuliko hizo V8.

Kuna V6 zinatoa hp kubwa ajabu. Binafsi sipendi engine kubwa isiyo na faida. Ukichanganya na umbo baya la hilo gari, bora liondoke kabisa sokoni.
 
Haifikii 200 siries lakini, haya ni imara sana
Imara si hizi za sasa ni previous versions za mwaka 2000 kurudi nyuma

Walibadilisha slogan toka off road SUV kuwa luxury SUV, tangu hapo kila kitu kuhusu land cruiser kilikua hovyo, na hata wao sababu pekee ya kusitisha ni baada ya soko la gari hizo kushuka
 
V8 ni engine !!, hii imetokana na V configuration, Toyota walianza kutumia hii configuration toka Miaka mingi nyuma kwa engine za 1 and 2 Uz sema hizi zilikuwa ni petrol zilikuwa very heavy kwenye ulaji wa mafuta ,

Mwaka 2009 ndo Ikaja 1vd ambayo ni diesel version ya v8 kutoka Toyota , hii ndo imekuwa maarufu kutokana na kuwa na power combined with fuel efficient.

Yap zipo Hadi v12 kwenye super cars , na v20 kwa engine za meli ,
Umeelezea vizuri mno! Ila nadhani mchangiaji alitaka kujua kwa nn hayo magari yamekuwa maarufu kwa kuitwa jina la injini kuliko jina la gari yenyewe ikiwa muundo wa injini hyo umetumia kwenye magari tofauti tofauti,km Ford, Chevrolet, Benz n.k
 
Siku hizi kuna 2L engines zinatoa hp kubwa kuliko hizo V8.

Kuna V6 zinatoa hp kubwa ajabu. Binafsi sipendi engine kubwa isiyo na faida. Ukichanganya na umbo baya la hilo gari, bora liondoke kabisa sokoni.

Engine ndogo yenye turbo wala haiko confortable barabarani ikiwa kwny high RPM yaani inakua ina struggle kishenzi,kitu V8 dude lina cc 4600,no turbo/supercharger ukiendesha dude liko smooth kishenziiiiiiiiii,hata ukiwa kwny high RPM hali struggle wala nini.
 
Ndo engine zinazokuja sasa hivi.

Due to emission standards, gari nyingi za V8 zinaondoka sokoni.

Engine zinashushwa to V6 na kuwekwa turbo.
 
Engine ndogo yenye turbo wala haiko confortable barabarani ikiwa kwny high RPM yaani inakua ina struggle kishenzi,kitu V8 dude lina cc 4600,no turbo/supercharger ukiendesha dude liko smooth kishenziiiiiiiiii,hata ukiwa kwny high RPM hali struggle wala nini.
Uko sahihi sana , engine ndogo ikiwa na nguvu nyingi haiwi comfortable , ratling za kutosha due to heavy vibrations , ndio sababu engine Kama 4m51 ya mitsubishi ina shaft balance Ili kupunguza vibrations .
Engine ikiwa kubwa huwa ina firing oder ya karibu karibu, na hii ndo fuanya engine kuwa comfortable na quiet na very stable wakati wa ku deliver torque , na unaweza ukapunguza idling rpm unavtotaka na engine haitazima Wala kutetemeka .
Zipo youtube video za rolls royce v12 , jamaa kaweka glass ya Maji juu ya engine anapiga ress za kutosha na glass haitikisiki Wala kumwaga
 
Umeelezea vizuri mno! Ila nadhani mchangiaji alitaka kujua kwa nn hayo magari yamekuwa maarufu kwa kuitwa jina la injini kuliko jina la gari yenyewe ikiwa muundo wa injini hyo umetumia kwenye magari tofauti tofauti,km Ford, Chevrolet, Benz n.k
Nafikiri nimeeleza , ni kwamba V8 iliyopata umaarufu kwenye magari madogo ni hii diesel version kutoka Toyota (1vd ) sababu kubwa hii ndo engine pekee kubwa ambayo ime combine power na fuel efficient .
Hapo zamani v8 zilikuwepo pia ford wanazo land rover , range rover audi ,benz ect hata hao Toyota walikuwa nazo Ila zote hizo zilikuwa niza petrol na zilisifika kwa ulaji mbaya wa mafuta .
1vd ni engine pekee ilivyokuwa na nguvu pamoja na decent fuel consumption ndio sababu imekuwa maarufu.
 
Back
Top Bottom