Kwanini Toyota wanapanga kusitisha kuzalisha V8

Kuna wengine V8 la Ml 400 wanasema kwao ni takataka.
Haijafika bei hiyo Mkuu wanaongeza sifuri kuipiga serikali hiyo pesa ukinunua gari hapa SA ni gari kweli sio hiyo...hapo engine ya hiyo kilimo Kwanza inauzwa mpaka 50m tena unetafuta kweli hapa hata million Saba haifiki...mna bei zenu ambazo hazipo duniani zipo hapo tuu
 
Dah! Sawa sawa kabisa.
 
Kuna mercedes suv gls 600 maybatch (acha hii kitu)

Afu kuna mercedes gle 350d coupe (usipime mzee)

Sielewi watu wakizungumzia hayo vieite 200 series
 
EBwana eeeeee
 
Tanzania bado imejaa viongozi wa kishamba. Kenya hakuna kiwewe na V8 kwa viongozi.
Sehemu kubwa ya magari ya viongozi wa Kenya ni magari ya kawaida kabisa.
 
Wanasema kwamba V8 engine ni kubwa hivyo uchafuzi wake wa mazingira ni mkubwa pia. Watakuwa wanatengeneza V6 pekee yake
 
Kuna mercedes suv gls 600 maybatch (acha hii kitu)

Afu kuna mercedes gle 350d coupe (usipime mzee)

Sielewi watu wakizungumzia hayo vieite 200 seriesView attachment 1693691
Harafu wanadanganyana eti 400m baada ya kuongeza sifuri Kuna mashine moja Mercedes GL 63 hiyo gari ndani acha kabisa upate ya 2018 au 2020 sijui ndugu zangu wanaferi wapi aisee wanataka kurithisha uongo kwamba hiyo ndio gari bora huku sisi magari bora tunayajua...
 

Daah noma sana aiseee,smoothness ya hapo ni hatari sana mkuu.
 
Kuna mercedes suv gls 600 maybatch (acha hii kitu)

Afu kuna mercedes gle 350d coupe (usipime mzee)

Sielewi watu wakizungumzia hayo vieite 200 seriesView attachment 1693691
Hiyo GLE 350d haitishi sana kwenye speed ana 250 hp.

Ukipata gari yenye 300 hp, huyo GLE hakusumbui.

Hata VX V8 anamkalisha huyo benz.

Sema uzuri wa benz ipo super stable barabarani. Yenyewe unalala kwenye kona na 120kph na gari haiyumbi.
 
Unaota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…