Kwanini Toyota wanapanga kusitisha kuzalisha V8

Kwanini Toyota wanapanga kusitisha kuzalisha V8

Kuna wengine V8 la Ml 400 wanasema kwao ni takataka.
Haijafika bei hiyo Mkuu wanaongeza sifuri kuipiga serikali hiyo pesa ukinunua gari hapa SA ni gari kweli sio hiyo...hapo engine ya hiyo kilimo Kwanza inauzwa mpaka 50m tena unetafuta kweli hapa hata million Saba haifiki...mna bei zenu ambazo hazipo duniani zipo hapo tuu
 
Dah! Sawa sawa kabisa.
 
au kwa sababu nimeona magari mengi na kudrive mazuri pia yaani niache kufikiri Cayenne,bmw X 6 4.0d au hayo Mercedes GL Class nifikiri viieiti hapana sina mapenzi ya kuiga mkumbo kuna mnyama mwingine biography ukiendesha utadhani upo ndani sitting room gari imetulia mnooo...
Kuna mercedes suv gls 600 maybatch (acha hii kitu)

Afu kuna mercedes gle 350d coupe (usipime mzee)

Sielewi watu wakizungumzia hayo vieite 200 series
Screenshot_20210202-140733.jpg
 
Uko sahihi sana , engine ndogo ikiwa na nguvu nyingi haiwi comfortable , ratling za kutosha due to heavy vibrations , ndio sababu engine Kama 4m51 ya mitsubishi ina shaft balance Ili kupunguza vibrations .
Engine ikiwa kubwa huwa ina firing oder ya karibu karibu, na hii ndo fuanya engine kuwa comfortable na quiet na very stable wakati wa ku deliver torque , na unaweza ukapunguza idling rpm unavtotaka na engine haitazima Wala kutetemeka .
Zipo youtube video za rolls royce v12 , jamaa kaweka glass ya Maji juu ya engine anapiga ress za kutosha na glass haitikisiki Wala kumwaga
EBwana eeeeee
 
Tanzania bado imejaa viongozi wa kishamba. Kenya hakuna kiwewe na V8 kwa viongozi.
Sehemu kubwa ya magari ya viongozi wa Kenya ni magari ya kawaida kabisa.
 
Mwaka huu mwezi wa Tatu ndo mwisho wa Kuzalisha ToyotaLand cruiser 200 series V8, na hii imepelekea watu wengi ku oda za mwisho mwisho.

Kumekuwa pia na malalamiko mengi na wengi wakiamini haya Magari ndo king of road.

View attachment 1690899View attachment 1690902
Wanasema kwamba V8 engine ni kubwa hivyo uchafuzi wake wa mazingira ni mkubwa pia. Watakuwa wanatengeneza V6 pekee yake
 
Kuna mercedes suv gls 600 maybatch (acha hii kitu)

Afu kuna mercedes gle 350d coupe (usipime mzee)

Sielewi watu wakizungumzia hayo vieite 200 seriesView attachment 1693691
Harafu wanadanganyana eti 400m baada ya kuongeza sifuri Kuna mashine moja Mercedes GL 63 hiyo gari ndani acha kabisa upate ya 2018 au 2020 sijui ndugu zangu wanaferi wapi aisee wanataka kurithisha uongo kwamba hiyo ndio gari bora huku sisi magari bora tunayajua...
 
Uko sahihi sana , engine ndogo ikiwa na nguvu nyingi haiwi comfortable , ratling za kutosha due to heavy vibrations , ndio sababu engine Kama 4m51 ya mitsubishi ina shaft balance Ili kupunguza vibrations .
Engine ikiwa kubwa huwa ina firing oder ya karibu karibu, na hii ndo fuanya engine kuwa comfortable na quiet na very stable wakati wa ku deliver torque , na unaweza ukapunguza idling rpm unavtotaka na engine haitazima Wala kutetemeka .
Zipo youtube video za rolls royce v12 , jamaa kaweka glass ya Maji juu ya engine anapiga ress za kutosha na glass haitikisiki Wala kumwaga

Daah noma sana aiseee,smoothness ya hapo ni hatari sana mkuu.
 
Kuna mercedes suv gls 600 maybatch (acha hii kitu)

Afu kuna mercedes gle 350d coupe (usipime mzee)

Sielewi watu wakizungumzia hayo vieite 200 seriesView attachment 1693691
Hiyo GLE 350d haitishi sana kwenye speed ana 250 hp.

Ukipata gari yenye 300 hp, huyo GLE hakusumbui.

Hata VX V8 anamkalisha huyo benz.

Sema uzuri wa benz ipo super stable barabarani. Yenyewe unalala kwenye kona na 120kph na gari haiyumbi.
 
Toyota watakuja na small engine say 2400 cc, twin turbo, hybrid ( more of electric plus little fuel) na horse power kubwa kuliko hiyo ya V8 VXR, more speed say 300km/hr and more fuel efficient, eg 6km per liter. Alafu bei itakuwa ghali kuliko ya sasa, alafu shape kalii balaa. Sasa waafrika tutamaliza hela huko
Unaota
 
Back
Top Bottom