Hatari sana πHuu ni utaratibu mpya wa kutoa ajira? Kwanini Majina ya waajiriwa hayawekwi hadharani? Kwanini watumiwe tuu Email?
Mbona kweye usaili waliweka hadharani namba na wahusika wa Usaili?
Kuna shida gani kuujuza Umma kuwa nafasi 500+ zimepata wahusika? Kuna shida gani TRA?
Hapa chini ni waajiriwa wwpya walio anza mafunzo leo..nafikiri kila waliofanya usaili wa mdomo wamestuka kuona wenzao wameanza mafunzo!
Kumbe!?Asilimia 90 ya wanao pata ajira kwa sasa ni kuanzia 34+ hii inatokana na uhaba mkubwa wa ajira nchini lakini hiki halifanyi mchakato wa ajira usiwe wazi
that's y nilisema hii ishu ya kuajiri bora wangebaki nayo utimishi ila huu uhuru wa mataasisi kuajiri ni noma sana hakuna rangi tutaacha kuona...Huu ni utaratibu mpya wa kutoa ajira? Kwanini Majina ya waajiriwa hayawekwi hadharani? Kwanini watumiwe tuu Email?
Mbona kweye usaili waliweka hadharani namba na wahusika wa Usaili?
Kuna shida gani kuujuza Umma kuwa nafasi 500+ zimepata wahusika? Kuna shida gani TRA?
Hapa chini ni waajiriwa wwpya walio anza mafunzo leo..nafikiri kila waliofanya usaili wa mdomo wamestuka kuona wenzao wameanza mafunzo!
that's y nilisema hii ishu ya kuajiri bora wangebaki nayo utimishi ila huu uhuru wa mataasisi kuajiri ni noma sana hakuna rangi tutaacha kuona...
Nimecheka kama mazuri ππHahahaha pole sana kijana
Kupanga ni kuchagua watu wana 20 na wanapata ajira [emoji849]Asilimia 90 ya wanao pata ajira kwa sasa ni kuanzia 34+ hii inatokana na uhaba mkubwa wa ajira nchini lakini hiki halifanyi mchakato wa ajira usiwe wazi
lakini mara mia hata wao maana ukifanikiwa kwenda oral unakuwa na kauhakika fulani ka kuwepo kweny database mda wowot unaweza kuitwa, tra utakaa data base ipi??Hata utumishi nao wana matatizo yao mengi tu, imagine mchakato wa ajira unachukua hadi miezi 8.. hakuna taasisi inayojitambua itaweza kupitia utumishi kwa sasa.
Ngerudi nyumbani πππPole kijana na kama unataka haki, itabidi uidai kweli kweli japo si lazma kampani au mashirika wakupe mrejesho au watoe majina ya waliopita kama tokeo la NECTA
Na bora wewe, je ungepitia situation ya kwenda kwenye oral interviews halafu kuna candidates wenzenu kama wawili ambao wanajuana na kila mfanyakazi anaepita kwenye corridor za hiyo kampuni. Ungejisikiaje ππ
Japo kuna wengine kilometa zimesoma sana Ila wengine Usije kuwauliza umri utashangaaa maana unaweza kadiria umri kwa kulinganisha na kizazi cha 80's, kumbe huo ndio muonekano wa below 30 wa kizazi cha late 1990's to early 2000's ππWastaafu ni wengi katika hilo kundi la waajiriwa wapya.. wengi ni Above 35+ na 40+β¦
Ngerudi nyumbani πππ
Ualimu na afya ni kula goodtime tu.
Tuma application,subiri upangiwe kituo cha kazi kama umepata.
Njoo sasa kada nyingine,
Watu wanahenyeshwa pesa za nauli,muda,akili, na bado kibarua hakuna.
Namimi nimeshangaaa sana aisee.Mbona watu wamezeeka wote?