Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaUrudi home ukafanye nini, aluta continua
Huko kwa waalimu na wenyewe wawekewe interviews maana Advance, tulipata teacher mmoja ambaye hadi kuingia darasani alikuwa anaogopa maana uwezo haba
Ilifikia kipindi anaweka alarm, ikiita anatoka nje kama anapokea simu kumbe ndio harudiii hivyo na kesho yake akija anaanza na topic mpya 😁😁😁
Kada zingine tupambane tu
Mwalimu ameshakaa mtaani miaka nenda miaka rudi,kwanini akili isilale?Urudi home ukafanye nini, aluta continua
Huko kwa waalimu na wenyewe wawekewe interviews maana Advance, tulipata teacher mmoja ambaye hadi kuingia darasani alikuwa anaogopa maana uwezo haba
Ilifikia kipindi anaweka alarm, ikiita anatoka nje kama anapokea simu kumbe ndio harudiii hivyo na kesho yake akija anaanza na topic mpya 😁😁😁
Kada zingine tupambane tu
Nako ni shida tuu mkuuNgerudi nyumbani 😂😂😂
Ualimu na afya ni kula goodtime tu.
Tuma application,subiri upangiwe kituo cha kazi kama umepata.
Njoo sasa kada nyingine,
Watu wanahenyeshwa pesa za nauli,muda,akili, na bado kibarua hakuna.
Bora hukoNako ni shida tuu mkuu
Ila hili la kuficha majina ya waajiriwa linaleta maswali mengi sana….Nimecheka kama mazuri 😂😂
Pole yao wapambanaji waliotoswa.
Nimewaza tu namna watu walihangaika kusoma,wakisubiri paper,,bado paper lenyewe watu wa banking wakasumbuliwa sana
Na bado ajira wamekosea
Tz ni kiboko🙌
Labda Mungu aje aingilie kati.
Hatari sana mimi toka mwanzo nilisema kama hukupata ajira za TRA kupitia Utumishi sahau kabisa hahahaBora huko
Mtu hachomi nauli.
Mtu kachoma nauli yake,Written,Oral, wengine sijui practical
Halafu watu wanakuja kupeana kazi kwenye email.
Mimi sijashangaa maana system yao tu ilikuwa mbovu tangu kwenye application.Ila hili la kuficha majina ya waajiriwa linaleta maswali mengi sana….
Nashangaa Kuna watu walifurahia sana,na wakawaona walioshindwa kuapply kama wazembe.Hatari sana mimi toka mwanzo nilisema kama hukupata ajira za TRA kupitia Utumishi sahau kabisa hahaha
Kwan tangazo la ajira liliandika vipi kuhusu umri? Ninachojua taaasisi nyingi za serikali umri wa mwisho kuajiriwa ni miaka 45.Namimi nimeshangaaa sana aisee.
Naona karibu wote ni watu wazima kwelikweli age imesogea
Watu walifurahiathat's y nilisema hii ishu ya kuajiri bora wangebaki nayo utimishi ila huu uhuru wa mataasisi kuajiri ni noma sana hakuna rangi tutaacha kuona...
Sasa Topic kama za physics aisee Mwalimu anaachaje kukimbia mambo meusi😂😂😂Urudi home ukafanye nini, aluta continua
Huko kwa waalimu na wenyewe wawekewe interviews maana Advance, tulipata teacher mmoja ambaye hadi kuingia darasani alikuwa anaogopa maana uwezo haba
Ilifikia kipindi anaweka alarm, ikiita anatoka nje kama anapokea simu kumbe ndio harudiii hivyo na kesho yake akija anaanza na topic mpya 😁😁😁
Kada zingine tupambane tu
Hatari sana watu wamepigwa bonge la suprise aiseeee hahahaha😂😂😂😂 utumishi lazima wakumbukweWatu walifurahia
Eti wapate ajira haraka haraka,utumishi wanachelewesha mambo
Haya sasa mambo ya fasta hayo
Tra wamepika mambo,na tayari watu wapo kazini kwa emails😂
Ni kama waliambiwa wavae taiHuu ni utaratibu mpya wa kutoa ajira? Kwanini Majina ya waajiriwa hayawekwi hadharani? Kwanini watumiwe tuu Email?
Mbona kweye usaili waliweka hadharani namba na wahusika wa Usaili?
Kuna shida gani kuujuza Umma kuwa nafasi 500+ zimepata wahusika? Kuna shida gani TRA?
Hapa chini ni waajiriwa wwpya walio anza mafunzo leo..nafikiri kila waliofanya usaili wa mdomo wamestuka kuona wenzao wameanza mafunzo!
Si ajabu kuna watu bado wapo wanasubiri tokeoHatari sana watu wamepigwa bonge la suprise aiseeee hahahaha😂😂😂😂 utumishi lazima wakumbukwe
😁😁😁😁😁😁 lazma wakimbieSasa Topic kama za physics aisee Mwalimu anaachaje kukimbia mambo meusi😂😂😂
Hujasoma tuisheni utajijua mwenyewe,siyo shida zake
😂😂😂😂😂😂Mbona watu wamezeeka wote?