Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

Hahahahaha
 
Mwalimu ameshakaa mtaani miaka nenda miaka rudi,kwanini akili isilale?
Kosa ni la serikali..
With time akili inaamka taratibu.


Afya wakiweka interview labda kama wanataka watu wauawe kabisa.
Miaka yote 5 daktari anasoma..na wa 6 wa internship,anapewa na leseni..afu afanye tena interview!
Mauaji hayo.
 
Ngerudi nyumbani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Ualimu na afya ni kula goodtime tu.
Tuma application,subiri upangiwe kituo cha kazi kama umepata.


Njoo sasa kada nyingine,
Watu wanahenyeshwa pesa za nauli,muda,akili, na bado kibarua hakuna.
Nako ni shida tuu mkuu
 
Nako ni shida tuu mkuu
Bora huko
Mtu hachomi nauli.
Umekosa umekosa,hujahangaika na mtihani wowote,wala hujachoma pesa zako za madafu.

Mtu kachoma nauli yake,Written,Oral, wengine sijui practical

Halafu watu wanakuja kupeana kazi kwenye email.
 
Ila hili la kuficha majina ya waajiriwa linaleta maswali mengi sana….
 
Ila hili la kuficha majina ya waajiriwa linaleta maswali mengi sana….
Mimi sijashangaa maana system yao tu ilikuwa mbovu tangu kwenye application.

Kuna watu walishindwa kutuma application kisa gusystem gubovu li IT ni bongee la kilaza na bado lipo ofisini.

Maumivu watu wameanza kuyapata Toka kwenye kuapply.
 
Hatari sana mimi toka mwanzo nilisema kama hukupata ajira za TRA kupitia Utumishi sahau kabisa hahaha
Nashangaa Kuna watu walifurahia sana,na wakawaona walioshindwa kuapply kama wazembe.

Haya sasa,ni maumivu tu
Hukupigwa tukio kwenye kuapply,unakuja pigwa tukio kwenye mtihani,,na majibu kama hivyo yamepikwa juu kwa juu.

Muda kitambo kilio kitakuwa kimoja,utumishi wachukue zoezi.
 
Namimi nimeshangaaa sana aisee.
Naona karibu wote ni watu wazima kwelikweli age imesogea
Kwan tangazo la ajira liliandika vipi kuhusu umri? Ninachojua taaasisi nyingi za serikali umri wa mwisho kuajiriwa ni miaka 45.

Na hizo sura sio kwamba ni watu wazima kiivyo Bali kwa muonekano wao inaonyesha walikuwa wameajiriwa sehemu ambapo pesa ya kula na kun'garishia sura sio tatizo.
 
that's y nilisema hii ishu ya kuajiri bora wangebaki nayo utimishi ila huu uhuru wa mataasisi kuajiri ni noma sana hakuna rangi tutaacha kuona...
Watu walifurahia
Eti wapate ajira haraka haraka,utumishi wanachelewesha mambo

Haya sasa mambo ya fasta hayo
Tra wamepika mambo,na tayari watu wapo kazini kwa emailsπŸ˜‚
 
Sasa Topic kama za physics aisee Mwalimu anaachaje kukimbia mambo meusiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hujasoma tuisheni utajijua mwenyewe,siyo shida zake
 
Watu walifurahia
Eti wapate ajira haraka haraka,utumishi wanachelewesha mambo

Haya sasa mambo ya fasta hayo
Tra wamepika mambo,na tayari watu wapo kazini kwa emailsπŸ˜‚
Hatari sana watu wamepigwa bonge la suprise aiseeee hahahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utumishi lazima wakumbukwe
 
Ni kama waliambiwa wavae tai
Wote wa tai wakawekwa mabenchi ya mbele


Noma sana.
Na wanasisitizwa uadilifu,wakati mchakato tu wa Ajira ulikuwa magumashi.


Hapo ni upigaji kwenda mbele hadi wavimbiwe.
 
Sasa Topic kama za physics aisee Mwalimu anaachaje kukimbia mambo meusiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hujasoma tuisheni utajijua mwenyewe,siyo shida zake
😁😁😁😁😁😁 lazma wakimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…