Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

Amini nakumbia wengi ni connections, kuna mtu hakuitwa Oral, na kwenye mafunzo ya Ajira yupo mbele kabisa! Hii ni Africa
 
Ndo maana hata wao hawaoneshi sura za furaha cos wanajua wamezurumu haki za watu ila mungu ni mkubwa kila mtu huumpa na kumnyima kwa sababu anazozijue yeye.
Wanaweza wakawa wamepata kwa haki kabisa sema tuu kutotangaza waliopata kazi kunafanya kila mtu aonekane mdhambi!
 
Mkuu wengi walioitwa wengine hata hawakuitwa Oral, wengi ni watoto wa wakuu wa Idara ndani ya TRA.
Mmhhh! Ni kweli kuna mtu hakuitwa oral kaitwa kazini? Unajua kuweka hadharani majina waliopata kazi kunapunguza tuhuma kama hizi!
 
[emoji38][emoji38][emoji38] kina kipindi nasubiri majibu kutoka mamlaka Fulani ya umma, kumbe Kuna wajanja walishaa by pass. Hakuna majina yaliyokuwa publish zaidi ya nafasi kupewa wenye nguvu, utumishi nako Kuna madudu sana
 
Ili uweze kua fair kwenye kutumia email. Inatakiwa uwa notify wote waliopata na wasiopata kwa email 2 tofauti
 
Ili uweze kua fair kwenye kutumia email. Inatakiwa uwa notify wote waliopata na wasiopata kwa email 2 tofauti
Yeah this is true kabisa. Wale ambao hawakufanikiwa pia walitakiwe watumiwe email kwamba hawajapata. This is a challenge na nakubaliana na wewe. Afu hii issue sijui kwanini, sio kwa TRA pekee hadi kwa taasisi nyengine za private wana tabia ya kukaa kimya kama myu hujafanikiwa
 
kwann unasema watu wa banking wakasumbuliwa?
 
Hizi sio taratibu,hapo wameficha majina ya watoto zao na ndugu zao.haiwezekani Ata hizo email za walioitwa kazini haikutaja jina imesema tu dear applicant.kwann email za kuitwa kwenye usaili ziwe na majina na kuitwa kazini zisiwe na majina?hiyo ni kuficha hili watu wasianze kucompare pdf la kuitwa kwenye interview na kuitwa kazini.This is totally un accepted
 
Wengi waliitwa kazini hawakufanya usaili na ndomana Ata email za kuitwa kazini hazikuwekwa majini wametumia dear applicant tu wakati email za kuitwa kwenye interview Zina majina
Yeah, hawakutaja majina katika hizo barua za kuitwa kazini, ilhali e-mail za kuita katika usahili zilitaja majina ya kila msahili. Tumefika pabaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…