Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

Wengi waliitwa kazini hawakufanya usaili na ndomana Ata email za kuitwa kazini hazikuwekwa majini wametumia dear applicant tu wakati email za kuitwa kwenye interview Zina majina
Aiseeeee
 
Watu walifurahia
Eti wapate ajira haraka haraka,utumishi wanachelewesha mambo

Haya sasa mambo ya fasta hayo
Tra wamepika mambo,na tayari watu wapo kazini kwa emails😂
🤣🤣🤣🤣🤣Daah, Hakuna rangi wataacha ona.
 
"Bora mchakato wa ajira urudishwe kwa taasisi husika. Utumishi wameshindwa. Utumishi wana urasimu."


Fyoko fyoko fyoko[emoji38]
BOT uliishaona wanaofanyisha usahili ni PSRS(utumishi) au uliishaona majina ya kuitwa kazini kwa BOT kila taasisi inataratibu zake taasisi za kifedha ni kama usalama
 
BOT uliishaona wanaofanyisha usahili ni PSRS(utumishi) au uliishaona majina ya kuitwa kazini kwa BOT kila taasisi inataratibu zake taasisi za kifedha ni kama usalama
Bot walinipiga Cha mbavu Sina hamu nao,Ila kwa taasisi ukishafanya oral,huwa hawatangazi waliopata ajira ,huwa wanatuma email baada ya wiki 2,kwa waliopata,so after two weeks ukiona kimya,jua imeendah hiyo🤣🤣
 
Usalama wa wapi
Uhuni mtupu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
uliza mtu unaemfaham aliepita TRA akueleze anakaguliwa kwa namna gani ili aingizwe kwenye payroll jambo usilolojua ni kama usiku wa giza l, usifikili nafasi za TRA ni kama wale walimu au manesi wanaopangiwa kishapu, tqndaimba,kwimba na wanaenda tu kwa wakurugenzi kureport
 
Hizo process za kwenda chuo Cha kodi kusoma na kufanya mitihani hakuna mtu atashindwa, amewekewa maziwa kwenye mrija ashindwe tu kunywa.
 
Bot walinipiga Cha mbavu Sina hamu nao,Ila kwa taasisi ukishafanya oral,huwa hawatangazi waliopata ajira ,huwa wanatuma email baada ya wiki 2,kwa waliopata,so after two weeks ukiona kimya,jua imeendah hiyo🤣🤣
Dah! Pole kwa hilo. Japo kuna uzi nilikuombaga mrejesho ukanipotezea mshikaji wangu.
 
Kuna watu humu wanaziongelea taasisi wasizozijua kwa imagination zao na sio uhalisia, kama huyo Liverpool VPN mtumishi wa halmashauri inakuwaje mtu uziongelee taasisi nyeti hovyo hovyo unavyojisikia wewe na kuzijudge kupitia sijui mitazamo ya watu wengine of which is so petty-minded aisee.
 
Hakuna uspecial wowote.

Toeni PDF, shughulikieni malalamiko ya watu tangu kwenye matokeo ya written interview, mnaitana kazini gizani afu mnataka muaminike.
 
Hakuna uspecial wowote.

Toeni PDF, shughulikieni malalamiko ya watu tangu kwenye matokeo ya written interview, mnaitana kazini gizani afu mnataka muaminike.
Ni kweli hakuna cha uspecial wowote, mbona awali saili zake zilikuwa zinapitia utumishi, sema tu ni mabadiliko haya yaliyokuja ya kusema taasisis zijiendeshe zenyewe ikiwemo na suala la kuajiri zenyewe, nje ya hapo hakuna cha u special wowote hapo , usitake kudanganya watu.
 
Boss kwamba TRA Wana u special gani tofauti na hao ulipwataja?
Kwani TRA aliyepangiwa Kishapu na Nesi wa Kishapu TOFAUTI ZAO NI NINI?

Unataka kuniambia yule Tax managent Officer na muhasibu wa Mapato wa Kishapu WANATOFAUTI GANI?

#YNWA
 
that's y nilisema hii ishu ya kuajiri bora wangebaki nayo utimishi ila huu uhuru wa mataasisi kuajiri ni noma sana hakuna rangi tutaacha kuona...

Ni kweli, pamoja na utumishi kuwa na changamoto zake lakini walikuwa wanajitahidi sana na kadiri ya siku walikuwa wanaendelea kuwa bora zaidi.
 
Sasa kukaguliwa kwani ni usahili mpk useme tuulize . Wakati kama Ukiweza kufanya Written Interview bhs vigezo unavyo hata akague nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…