Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ndugu zangu.
1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ?
2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri , kwanini haijafanya hivyo kwa mashirika na taasisi zingine zote kufata mfumo huo huo wa kuajiri wenyewe na kuachana kabisa na ajiral portal?
3: i) Je, kwanini kunachangamoto kubwa sana ya kusingn up kwenye website ya TRA ili uweze kubahatisha nafasi zao pasi na kuhusisha waombaji ni wengi , kwanini isiwe easy kama ajira portal?
ii) Na kwanini basi ikiwa umepata kadhia ya kusingup , ukidirectiwa kwenye ku-click "Ok" ili upate support haileti msaada wowote ule ?