Kwanini TRA wasigawe EFDs badala ya kuziuza?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
VAT ni kifupi cha Value Added Tax. Ni kodi inayotozwa kwenye bidhaa, huduma, na mali isiyohamishika ya shughuli yoyote ya kiuchumi wakati thamani inapoongezwa katika kila hatua ya uzalishaji na hatua ya mwisho ya mauzo. Viwango ni 18% kwa usambazaji wa kiwango cha kawaida, na 0% kwa mauzo ya bidhaa na huduma nje ya nchi.

Ili TRA wapate VAT kwa usahihi kuna umuhimu wa wafanyabiashara kuwa na rekodi sahihi za mauzo yao, suala hili linaleta ulazima wa wafanyabiashara kutoa risiti. Kwenye suala la risiti, TRA ililazimika kufanya risiti ziwe za kielectronic ili kupata mahesabu sahihi ya VAT.

Pia soma: Ubadhirifu katika Risiti za EFD za TRA

Shida ni kwamba, TRA inalazimisha wafanyabiashara kununua mashine za EFD ili kutoa risiti za kielectronic, bila kuangalia uhalisia kwamba suala hilo linakuwa na shida kwa kuwa mwenye shida na VAT sio mfanya biashara bali TRA. Hadi sasa TRA imeweka wafanyabiashara 18 wanaouza mashine za EFD ambapo wafanyabiashara waliosajiliwa kulipa VAT wanatakiwa kununua kutoka kwao. Jambo hili linaleta shida kwa wafanyabaisahara kutokana na ukubwa wa bei za EFD lakini pia suala la kuwa Mfanyabiashara hana faida na VAT bali serikali.

Kwa sababu hii ni muhimu kwa TRA kutoa mashine za EFD bure ili kila mteja wanayemsajili aipate kisha awakusanyie hela yao. Suala la wafanyabiashara kununua EFD ni sawa na kumwambia mtoto akachukue fimbo ili umchape.

Pia soma: Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
 
Kwani wao uliwaaia wewe??
 
Kama ulinunua EFD kwa 1m siku unapeleka VAT yao ya 1.5m (mfano) unakata 1m unawapa TRA 500,000/=. Hata wakitoa bure kama mtu sio mlipaji hatalipa.
 
Back
Top Bottom