Kwanini traffic akikusimamisha huomba leseni, kadi ya gari n.k?

Kwanini traffic akikusimamisha huomba leseni, kadi ya gari n.k?

Pale ccp moshi tulifundishwa kwamba ili ku secure mtuhumiwa. kumbuka kila unaposimamishwa na polisi wewe ni mtuhumiwa. anachukua kadi na lesen kabla ya fiziko examination. Hakuna trafiki anaechukua rushwa hii ni dhana ya urongo na potofu. kama umeshawahi kutoa rushwa lete ushahidi

tehe tehe.
 
Mleta mada: jibu ni NDIO. Leseni, kadi ya gari, etc. ni muhimu kukagua RANDOMLY ili kuimarisha COMPLIANCE, na kupunguza matukio ya ajali, ujambazi, etc.
Waliostaarabika wanaelewa umuhimu wake.
 
Ndugu wanajamvi, binafsi nakerwa sana na ninaposimamishwa na traffic kisha kuombwa leseni, kadi ya gari na wakienda sana ni fire extinguisher na triangle! vitu hivi ni muhimu kuwa navyo na hasa ni kwa usalama wa mmiliki wa gari. Hainiingii akilini kama mimi mtu mzima natoka na gari yangu umbali mrefu naingia barabarani mwenyewe halafu sijithamini usalama wangu! nikishamuonesha kadi ya gari, ama leseni, yeye kikazi inamsaidia nini?! fire extinguisher siku hizi lazima ulipie kupitia re-licensing, sasa kwa nini watu hawa huulizia hii kitu, utakuwa mwendawazimu kiasi gani ulipie fire extinguisher kisha uishie kutokuwa nayo? Napata maswali mengi sana juu ya taaluma hii, ndivyo maelekezo ya kazi yao au WANAPASWA KUELIMISHA JUU YA USALAMA BARABARANI?! Wanajamvi naomba anaefahamu sana mambo haya anielimishe, I am tired, karibu napaki gari zangu, nianze kutembea kwa baskeli. asanteni.

ni kazi yao kuhakikisha kila anaendesha gari ana leseni ya udereva,njia pekee ni kusimamisha randomly na kuuliza leseni..
pia ni kazi yao kuhakikisha gari limesajiliwa kihalali na taratibu zote za kuruhuisu litembee barabarani zimefuatwa...
 
Huyu jamaaa kapata lesn kmagumash ndo maana baadhi ya drivn ethcs hazjui,ushaambiwa vitu unavotakiwa kuwa navo ukiwa barabaran n gar n lazma uwe na Lesseni ya udereva,kadi ya gat,fire xt na triangle sasa unapoanza hoji hvo wadhihirisha kabsa ww lesssen unafoji tuuu
 
Pale ccp moshi tulifundishwa kwamba ili ku secure mtuhumiwa. kumbuka kila unaposimamishwa na polisi wewe ni mtuhumiwa. anachukua kadi na lesen kabla ya fiziko examination. Hakuna trafiki anaechukua rushwa hii ni dhana ya urongo na potofu. kama umeshawahi kutoa rushwa lete ushahidi

siku hizi tunatembea na camera flani hivi, tunawarekodi tu kidizaini, iko siku mambo yatakuwa poa
 
Nunua hii gari nakuhakikishia hawatakusimamisha mbulumundu
MANSORY-Rolls-Royce-Ghost-1.jpg

hii ndiyo ile gari uliyopewa kibarua cha kuiosha nini? hongera mkuu...hebu zikusanyekusanye zitatosha kugombea ubunge 2015
 
Ndugu wanajamvi, binafsi nakerwa sana na ninaposimamishwa na traffic kisha kuombwa leseni, kadi ya gari na wakienda sana ni fire extinguisher na triangle! vitu hivi ni muhimu kuwa navyo na hasa ni kwa usalama wa mmiliki wa gari. Hainiingii akilini kama mimi mtu mzima natoka na gari yangu umbali mrefu naingia barabarani mwenyewe halafu sijithamini usalama wangu! nikishamuonesha kadi ya gari, ama leseni, yeye kikazi inamsaidia nini?! fire extinguisher siku hizi lazima ulipie kupitia re-licensing, sasa kwa nini watu hawa huulizia hii kitu, utakuwa mwendawazimu kiasi gani ulipie fire extinguisher kisha uishie kutokuwa nayo? Napata maswali mengi sana juu ya taaluma hii, ndivyo maelekezo ya kazi yao au WANAPASWA KUELIMISHA JUU YA USALAMA BARABARANI?! Wanajamvi naomba anaefahamu sana mambo haya anielimishe, I am tired, karibu napaki gari zangu, nianze kutembea kwa baskeli. asanteni.

Hilo swali ni sawa na yule anayeshangaa kwa nini Utashitakiwa kama ukitaka kujinyonga na haukufanikiwa, wakati ni maisha yako Mwenyewe? Ndilo Jukumu la Serikali hilo, kumbuka Serikali inamuawakilisha Mungu hapa Duniani, na ndio maana hata kwa Mungu kujinyonga ni dhambi!

Halafu isitoshe Kama Gari umeiba Je, yeye atajuaje? Kama hauna Leseni Je, yeye atajuaje? Kama hauna hiyo pembe tatu yeye atajuaje? Kumbuka jukumu la Serikali ni kukulinda wewe na watu wengine waliokuzunguka,

Watz Tuna IQ Ndogo sana, na huu ndio moja ya Ushahidi wa watu wetu, angalia Maswali yanayomsumbua, tatizo ni IQ ndogo tu Basi!
 
mkuu izo kazi za watu.na hizo ni taratibu za kazi zao,wewe unaweza kuwa na kila kitu lakini kuna wengine wengi tu wasiokuwa na ivyo vitu na wapo barabarani,sasa traffic hawezi jua yupi ni yupi,usichukulie kama usumbufu,kama ingekuwa unasimamishwa,kila kitu unacho halafu bado anakusumbua hapo sawa,lkn mi naona ni kawaida tu,waache ma-pot wafanye kazi zao..
 
Card ya gari na leseni kwanza ili usikimbie
 
Sheria ijulikanayo kama The Road Traffic Act 1973 ambayo ilifanyiwa marekebisho mwaka 1996, inatamka wazi hilo ni moja ya majukumu yao!

mkuu hii sheria kuna kipengele cha kumpa dereva onyo?
maana sijawahi kupewe onyo!
juzi wameniomba leseni kumbe kioo cha gari kilikuwa na ufa wakangangania leseni hadi kesho yake nilipowapelekea 10,000
 
unanichekesha sana,sasa ww ulitaka akulize nini kadi ya mtoto ya clinic? hizo ni taratibu za traffic hakuna Gari ambalo utanunua bila kadi,au una kaa Malawi?
 
Usiwe mbishi hivyo vitu ni muhimu kuonesha kwa polisi. Sheria inataka wafanye hivyo. Magari kila siku yanaibwa. Unataka yasikaguliwe ili wezi wapate mteremko? Au na wewe ndio ...... ?!!!!
Leseni,Fire extinguisher na triangle visna uhusiano gani na wizi wa magari na hakuna gari la wizi linaweza kukamatwa bila juhudi binafsi
 
Hii nchi hakuna wakukemea aibu za traffic police kuomba rushwa mpaka madereva wa daladala wagome ndio kauli za kujishebedua zitoke, viongozi mnatupeleka wapi?
 
mbona mie sijawahi kusimamishwa au sionekani rangi nyeupe sana? :eyebrows:

range.jpg
 
Huyu jamaaa kapata lesn kmagumash ndo maana baadhi ya drivn ethcs hazjui,ushaambiwa vitu unavotakiwa kuwa navo ukiwa barabaran n gar n lazma uwe na Lesseni ya udereva,kadi ya gat,fire xt na triangle sasa unapoanza hoji hvo wadhihirisha kabsa ww lesssen unafoji tuuu

Anaweza kuwa hajafoji tatzo lake hajiamini hapana!huyu kafoji leseni au kachukua ya marehemu!
 
Back
Top Bottom