Pale ccp moshi tulifundishwa kwamba ili ku secure mtuhumiwa. kumbuka kila unaposimamishwa na polisi wewe ni mtuhumiwa. anachukua kadi na lesen kabla ya fiziko examination. Hakuna trafiki anaechukua rushwa hii ni dhana ya urongo na potofu. kama umeshawahi kutoa rushwa lete ushahidi
Ndugu wanajamvi, binafsi nakerwa sana na ninaposimamishwa na traffic kisha kuombwa leseni, kadi ya gari na wakienda sana ni fire extinguisher na triangle! vitu hivi ni muhimu kuwa navyo na hasa ni kwa usalama wa mmiliki wa gari. Hainiingii akilini kama mimi mtu mzima natoka na gari yangu umbali mrefu naingia barabarani mwenyewe halafu sijithamini usalama wangu! nikishamuonesha kadi ya gari, ama leseni, yeye kikazi inamsaidia nini?! fire extinguisher siku hizi lazima ulipie kupitia re-licensing, sasa kwa nini watu hawa huulizia hii kitu, utakuwa mwendawazimu kiasi gani ulipie fire extinguisher kisha uishie kutokuwa nayo? Napata maswali mengi sana juu ya taaluma hii, ndivyo maelekezo ya kazi yao au WANAPASWA KUELIMISHA JUU YA USALAMA BARABARANI?! Wanajamvi naomba anaefahamu sana mambo haya anielimishe, I am tired, karibu napaki gari zangu, nianze kutembea kwa baskeli. asanteni.

Nunua hii gari nakuhakikishia hawatakusimamisha mbulumundu

Sheria ijulikanayo kama The Road Traffic Act 1973 ambayo ilifanyiwa marekebisho mwaka 1996, inatamka wazi hilo ni moja ya majukumu yao!
Leseni,Fire extinguisher na triangle visna uhusiano gani na wizi wa magari na hakuna gari la wizi linaweza kukamatwa bila juhudi binafsiUsiwe mbishi hivyo vitu ni muhimu kuonesha kwa polisi. Sheria inataka wafanye hivyo. Magari kila siku yanaibwa. Unataka yasikaguliwe ili wezi wapate mteremko? Au na wewe ndio ...... ?!!!!
Yeah , ninaiosha kila sikuhii ndiyo ile gari uliyopewa kibarua cha kuiosha nini? hongera mkuu...hebu zikusanyekusanye zitatosha kugombea ubunge 2015
Huyu jamaaa kapata lesn kmagumash ndo maana baadhi ya drivn ethcs hazjui,ushaambiwa vitu unavotakiwa kuwa navo ukiwa barabaran n gar n lazma uwe na Lesseni ya udereva,kadi ya gat,fire xt na triangle sasa unapoanza hoji hvo wadhihirisha kabsa ww lesssen unafoji tuuu