Kwanini Trafiki akisimamisha Daladala, anayeshuka ni Kondakta?

Kondakta si ndiye anaenda kuhonga pesa.

Jeshi la polisi Tanzania ni "organised crime" kabisa.

Umafia tu. Hakuna siri.
Aise,tutawadhibiti vipi hawa

Nini kifanyike ?

Ova
 
Halafu, mleta mada hajakosea; yeye anamzungumzia Trafiki sio traffic. Hivyo ni vitu viwili tofauti, ieleweke.
 
Aise,tutawadhibiti vipi hawa

Nini kifanyike ?

Ova
Bofya chini hapo👇🏾

 
Mshika hela - konda
Mwongeaji - konda
alokabidhiwa chombo - konda
Mjibu shituma - konda
etc
 
 
Siyo kila kitu lazima ujue ndugu yangu
 
Kondakta si ndiye anaenda kuhonga pesa.

Jeshi la polisi Tanzania ni "organised crime" kabisa.

Umafia tu. Hakuna siri.
Bila ya kuwapa pesa polisi, maisha yatakuwa magumu sana kwa magari
 
Mbona jambo hilo liko wazi kabisa! Wanapeleka hesabu aka marejesho ya kila siku!!

Askari wa usalama barabarani wanatimiza majukumu yao kwa asilimia chache sana! Zaidi wapo barabarani kwa lengo la kukusanya hela tu zitokanazo na rushwa.

Jeshi la polisi kila unapofanyika utafiti wa taasisi za serikali zinazo ongoza kwa kupokea rushwa; lazima washike namba 1!!
 
Sababu yy ndio mshika mikoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…