ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nani aliye design kuwa hili crate la mayai liwe la plastic au la material yoyote lakini lazima libebe mayai 30.hii Ni kwa dunia nzima nchi zote hutaona trei lenye mayai 20 au 24 au 40.hiki kipimo kinatokana na mantiki ipi haswa?