Kwanini tuliozaliwa katika koo za Kichifu/Machifu haturogeki na tuna asili ya kuogopwa na kuheshimiwa mno?

Kwanini tuliozaliwa katika koo za Kichifu/Machifu haturogeki na tuna asili ya kuogopwa na kuheshimiwa mno?

Baba yake na Babu yangu Wote walikuwa ni Machifu katika Ngome za Wazanaki.

Baadae Watoto Wao ( yaani Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ) na Baba yangu mkubwa ( nalihifadhi Jina lake japo nae sasa ni Marehemu kama ilivyo kwa Mwalimu Nyerere ) kutokana na Urafiki wao mkubwa tokea Utotoni waliamua kuwa Ndugu kabisa.

Ili Kukamilisha adhma yao hiyo ya kuwa Ndugu Kamili Wawili hawa waliwaambia Baba zao ( Baba yake Mwalimu Nyerere na Babu yangu ) ambapo waliwaelewa kisha wakaitwa Wazee wa Kimila kisha Mwalimu Nyerere na Baba yangu Mkubwa Wakachanjwa na Damu zao Kuchanganywa na kuwa Ndugu rasmi.

Hivyo mpaka hii leo Ukoo wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Ukoo wangu GENTAMYCINE wanashirikiana kwa kila Jambo / Tukio huku tukitembelea na Kujaliana kwa hali na Mali.

Na hata Jina langu aliyenipa ni Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere baada ya kuwa wa Kwanza kuja Kunibeba nilipozaliwa Agha Khan Hospital akitokea Jirani tu Ikulu ya Magogoni.

Nadhani nimekujibu kwa Ufafanuzi.
Aahahaaaa
 
Hizi mambo za kwenda kaisho huko karagwe na kuambiwa mizimu ya kichifu imekuchagua kuja kuwa kiongozi mkubwa sana nchini !HUWA siamini sana japo unayoyasema yanaendana nani KWA asilimia 95 eti chifu Rumanyika ndio mizimu yake imekuchagua!!

Hiyo ni nature na hulka ya mtu!

Nilipoenda ukweni nikaambiwa na Baba mkwe eti watu wanahisi wewe ni askari au mwanajeshi nikawacheka kishenzi!!!

Hizo ni asili ya urithi wa ulimwengu usioonekana!inawezekana ikawa hata Rais ajaye wa nchi mojawapo wa maziwa makuu lakini chukulia poa usije changanyikiwa KWA matarajio MAKUBWA SANA maishani!!
Mwenye hali ya namna hiyo anatakiwa kufanya nn?
 
Sawa umeshinda
Wamenishindwa Magwiji Wenzako hapa tokea nijiunge rasmi mwaka 2013 leo hii Wewe Mpumbavu na Mwehu Mmoja unadhani utaniweza Mwamba wa Vita ya Maneno na Maandishi hapa?

Huwa nawapenda mno Watu kama nyie ili niwanyoosheni vizuri. Ungejiamini ungepambana nami kwa kutumia ID yako ile maarufu na siyo Kujificha katika hii.

au waombe akina Last emperor na Kilimbatz waliolaiki ile Post yako Uliyonikashifu ili Wakusaidie au ukiweza Ungana nao kisha nyote pambaneni na Mimi Jeshi la Mtu Mmoja.
 
Ni kweli Kabisa.

Sisi wengine ni Wanyanyembe Kutoka katika familia ya Mtemi, Fundikira.
Kiasiili ni Watawala.

Uliyoyaeleza ni Sahihi.
Ziada, ni kuwa ni majasiri, hatunaga unafiki kwani hatuogopi, tuna karama nyingi n Akili zisizo na mipaka.
Udhaifu wetu, hatuwezi kunyenyekea Watu
Umepatia kila Kitu na uko sahihi 100%
 
Wamenishindwa Magwiji Wenzako hapa tokea nijiunge rasmi mwaka 2013 leo hii Wewe Mpumbavu na Mwehu Mmoja unadhani utaniweza Mwamba wa Vita ya Maneno na Maandishi hapa?

Huwa nawapenda mno Watu kama nyie ili niwanyoosheni vizuri. Ungejiamini ungepambana nami kwa kutumia ID yako ile maarufu na siyo Kujificha katika hii.

au waombe akina Last emperor na Kilimbatz waliolaiki ile Post yako Uliyonikashifu ili Wakusaidie au ukiweza Ungana nao kisha nyote pambaneni na Mimi Jeshi la Mtu Mmoja.
Sawa kubwa j
 
Back
Top Bottom