Kwanini Tumaini Kweka afanya majukumu ya Mwendesha Mashtaka wa Mkoa na Wilaya katika kesi za Sabaya? Je, ana maslahi binafsi?

Mwisho umeaharibu ingawa sabay ametenda makosa ila kweka Yuko front Sana kuahakikisha jamaa anafungwa napata mashaka sana
Bila Mtu kuwa front hawa Mbweha ya Dikteta wanhejiona dhuluma ni haki Yao. Amekosekana frontliner Kwa yule Mbweha wa Dar unaona anatamba Kila mahali? Yule mmiliki wa vipeperushi alivyopigwa bilioni kadhaa mahakamani umesikia anatukana watu tena? Kwa Sasa hawezi hata kumfokea mbwa wa jirani yake.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Suala la sabaya halina uchaga wala ukanda maana kiongozi yeyote kama huyu anaweza tenda mahala popote.... wanaomtuhumu ni watanzania na sio wachaga

acha kuleta maneno ya chuki
 
Kwenye hili ningeomba kujua "wauza madawa wengi ni wachaga" based on statistics zipi?
Based on research ipi? With atleast 10% ya finding zako unaweza kuweka evidence hapa na uka prove?
Unategemea kupata statistics toka Kwa Huyo Kipulilo?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Wakati mnakula Hennessy pale kokoriko kwa fedha za wizi mlikuwa hamjui siku yenu itafika
 
Wamachame wameungana kumsulubu saa baya. Huyu Kuweka wa machame kisereni ni rafiki wa Karibu na faru John a.k.a gaidi
 
Alifanya kazi uchagani, uhalifu akafanyia uchagani, ulitaka wengi wamlalamikie kutokea chato?
 
Kwa hiyo lazima mchaga ndio asimamie kinyume na utaratibu?
 
Toka lini na ni utaratibu upi mtuhumiwa anaweza kumkataa mwendesha mashtaka kuwa hatamte dea haki?! Kazi ya mwendesha mashtaka ni kushitaki kazi ya mtuhumiwa ni kujibu mashataka na mwamuzi ni hakimu/ jaji.
 
Kuna personal interests za aina mbili,
Kwanza ni uhusiano wa kikabila, uchaga. Kweka ni mchaga, anasaidia wachaga wenzie kupambana na Sabaya ambaye alidisturb biashara haramu za wachaga.
Pili ni uhusiano wa kindugu na mbowe. Inasemekana mbowe ni mkwe wake, kwa hiyo kumpambania mkwe ofcourse ni kupambania naniliu uliyo nayo nyumbani!
 
Umeandika ujinga,upuuzi FUTA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…