Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Ndio anashitakiwa sasaAlimuua nani na kumbaka nani? Ni lini alishitakiwa kwa kubaka au kuua?
A
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio anashitakiwa sasaAlimuua nani na kumbaka nani? Ni lini alishitakiwa kwa kubaka au kuua?
A
Bila Mtu kuwa front hawa Mbweha ya Dikteta wanhejiona dhuluma ni haki Yao. Amekosekana frontliner Kwa yule Mbweha wa Dar unaona anatamba Kila mahali? Yule mmiliki wa vipeperushi alivyopigwa bilioni kadhaa mahakamani umesikia anatukana watu tena? Kwa Sasa hawezi hata kumfokea mbwa wa jirani yake.Mwisho umeaharibu ingawa sabay ametenda makosa ila kweka Yuko front Sana kuahakikisha jamaa anafungwa napata mashaka sana
Suala la sabaya halina uchaga wala ukanda maana kiongozi yeyote kama huyu anaweza tenda mahala popote.... wanaomtuhumu ni watanzania na sio wachagaTumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Kama Sabaya ni mzalendo basi hili neno labda Lina maana nyingine siku hizi?Huyo kweka ni shetani anayeonea wazalendo.
Na kuwapigania wafanyabiashara wakwepa kodi na majambazi ya moshi yanayoiba magari kenya na kuleta Tanzania.
Unategemea kupata statistics toka Kwa Huyo Kipulilo?Kwenye hili ningeomba kujua "wauza madawa wengi ni wachaga" based on statistics zipi?
Based on research ipi? With atleast 10% ya finding zako unaweza kuweka evidence hapa na uka prove?
Wakati mnakula Hennessy pale kokoriko kwa fedha za wizi mlikuwa hamjui siku yenu itafikaTumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Wamachame wameungana kumsulubu saa baya. Huyu Kuweka wa machame kisereni ni rafiki wa Karibu na faru John a.k.a gaidiTumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Alifanya kazi uchagani, uhalifu akafanyia uchagani, ulitaka wengi wamlalamikie kutokea chato?Tumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Toka lini na ni utaratibu upi mtuhumiwa anaweza kumkataa mwendesha mashtaka kuwa hatamte dea haki?! Kazi ya mwendesha mashtaka ni kushitaki kazi ya mtuhumiwa ni kujibu mashataka na mwamuzi ni hakimu/ jaji.Tumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada ya kupanishwa mahakamani kuna tuhuma ambazo Kweka alizitoa ambazo hazikuwa kwenye hati ya mashitaka.
Tumaini Kweka kama Naibu DPP ofisi zake ziko Dodoma. Na kila Mkoa una Afisa mwendesha mashitaka kama ilivyo katika kila Wilaya.
Lakini katika hizi kesi za Sabaya hata iliyofungukiwa Moshi juzi, katoka Dodoma kwenda kuisimamia japo kama Wakili wake alivyoeleza haijafuata utaratibu wa kisheria.
Maswali ni mengi ya kujiuliza maslahi binafsi aliyo nayo huyu Kweka na kesi za Sabaya hadi atumie Rasilimali za serikali na kuacha ofisi yake kwenda kufanya majukumu yanayopaswa kufanywa na waendesha mashitaka wa mikoa na wilaya.
Pia wengi wanaomlalamikia Sabaya ni wachaga akina Mbowe na magenge yao mengine ambayo Sabaya alishugulika nayo ya watu wanaosambaza pesa bandia, madawa ya kulevya na wezi wa magari. Ambao wengi tunajua makao yao ni jimbo la Hai.
Na yeye pia ni mchaga wa Hai. Je hakuna mkakati wa hawa watu wa pamoja kama kumuumiza sababu aliumiza biashara zao haramu?
Sidhani kama Sabaya pekee ndio alifanya makosa, mbona wengine hawafanywi hivyo?
Mwisho nimsihi Ndugu Tumaini Kweka kuwa kila pando analopanda atalivuna. Naamini anatumika na wachaga wenzie. Lakini ajue kuwa kila analofanya mwanadamu atatoa hesabu mbele za Mungu.
Umeandika ujinga,upuuzi FUTA!Tumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.