Kwanini tume haikumuita mgombea wa CCM kwenye kamati?

Ashasembeko

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
226
Reaction score
914
Wiki iliyopita Mkurugenzi wa Uchaguzi, Wilson Mahera, alitangaza kwenye vyombo vya habari kumuita mgombea wa Urais CHADEMA, Tundu Lissu kwenye kamati ya uchaguzi kabla hata ya kumuandikia barua ya wito.

Baada ya Lissu kusema kwamba hatoitikia wito wa mitandaoni, ndio wakamwandikia wito rasmi ambao unaelezea malalamiko ya chama cha CCM na NLD.

Lakini cha kushangaza ni kuwa CHADEMA na ACT-Wazalendo waliandika pia barua ya kulalamikia tume kuhusu ukiukwaji wa maadili yanayofanywa na Magufuli, lakini hatujaona Tume ikimuita kwenye vyombo au ikitangaza kuwa imemuandikia barua ya wito.

Inachosha kuona jinsi tume inakua na upendeleo wa wazi kwa Magufuli. Huu uchaguzi kwangu binafsi hauna maana tena, maana hizi mbinu na upendeleo wa Tume unaonyesha dhahiri mtu wao wanaomtaka. Nitampigia kura Lissu, ila sina shaka kuwa Tume itachakachua kura zangu na za wengine watakao wapigia wapinzani.
 
Mwambieni lissu aache kiburi, Baada ya Uchaguzi atabaki anahangaika peke yake mahakamani
 
Demokrasia imewekwa mfukoni

Acheni upuuzi ipo siku nyingi mtasajiliwa kuwa raia wa mahakamani. Kulikuwa na watawala waliodhani hii dunia na vyote viijavyo wao ndo waliviumba.Leo wapo wapi?
 
Mwambieni lissu mahakamani ataenda peke yake bado siku 20 tu za kuropoka

Tume inaendelea kutukumbusha haki na uhuru haviombwi. Haki na uhuru hupiganiwa!

Safari kuelekea kupata haki na uhuru haiwezi kuwa rahisi.

Kamanda Lissu hauko peke yako. No retreat no surrender.

Kosa gani umefanya? Kampeni mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom