Kwanini Tume imejikita kutetea report ambayo hatujaiona na huenda hatutakuja kuiona kamwe...!!?

Nimefuatilia mazungumzo ya tume. Naona wako busy kujitetea badala ya kutufafanulia na kuthibitisha ushahidi kwa kile kilichotokea..!?
 
Hawa wazee ni wapumbavu sana wamelambishwa asali basi wanajiramba ramba tu kama nyoka., wazee wajinga kama hawa huku kwetu usukumani tunapiga shoka la kichwa tunazika.
 
CNN walishamaliza kazi Chande na Machande watuonyeshe waandamaji wenye silaha na mabomu kama hivi kama wanataka kuaminika.

Hadi ukiona kitu walitangulizwa wachungaji , mashehe , machawa kama akina Kitenge na Kikeke kukipigia upatu ujue walijua ni uchafu mtupu.

Hata leo maelezo wanayokuja kutoa kama utetezi bado unaona watanzania wameamka wameyakataa.
20260426_235301.jpg
 
CNN walishamaliza kazi Chande na Machande watuonyeshe waandamaji wenye silaha na mabomu kama hivi kama wanataka kuaminika.

Hadi ukiona kitu walitangulizwa wachungaji , mashehe , machawa kama akina Kitenge na Kike kukipigia upatu ujue walijua ni uchafu mtupu.

Hata leo maelezo wanayokuja kutoa kama utetezi bado unaona watanzania wameamka wameyakataa.
View attachment 3580695
Kile kibabu kilisema kulikuwa na watoto wa miaka 02 hadi 05(jus' imagine miaka miwili hadi mitano ambao ni watoto)kwamba walipewa mafunzo kuandamana,kupindua nchi na kupewa bakshishi ya kuanzia elfu kumi hadi hamsini.😛😛😛😛😛😛😛🫸🫷
 
Hakika inasikitisha , watu wanapigwa risasi mlangoni, kibarazani, sebuleni kwao halafu mjinga mmoja anasema walilipwa na kupewa mafunzo ya kuandamana.
 
Nahisi ndio walipanga baada ya kuzindua waje na hii style ya kuendelea kutuona wapumbavu
 
Back
Top Bottom