Uchaguzi 2020 Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi imjibie tuhuma Mgombea?

BENNICK

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
634
Reaction score
866
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema Watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na Watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya Wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
 
Tume walishamuandaa mshindi wao Sasa hili nyomi hawakulitegemea pili kule kuna Robert Amsterdam kiboko ya madikteta ya afrika ana file case moja kwa moja the Hague, mabeberu wamechoka kuhudumia wakimbizi wasababishwao na hii midikteta iliyokosa malezi Bora utotoni.
 
Wakuu miminsi mtaalamu sana wa sheria lakininnajaribu kujiuliza maswali machache....
Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
 
Wakuu miminsi mtaalamu sana wa sheria lakininnajaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanani Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.
Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
Robert Amsterdam
 
Lissu ni mwanasherai kila sehemu anadhani ni mahakamani. Anazua kesi! MWambieni atoe ahadi za maendeleo. Rais gani anaahidi kurekebisha sheria, kwani yeye ni Bunge?
Kumbuka kila mgombe ana haki ya kunadi sera ambazo zipo kwenye ilani yake. Na anajua namna gani atazisimamia, ni haki yake kikatiba
 
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
Ni aibu ningekuwa mimi mahela nisingefanya ivyo
 
Wamemuweka hapo ila wamwendeshe.

1. Mehara hana akili za maisha.. ameendeshwa sana na Muro kule arumeru.

2. Mahera hadi sasa utadhani amelogwa maana hajaelewa kazi yale.

3. Hadi sasa analazimisha Magufuli ashinde.
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
 
Tunasema kila siku humu hamuelewi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119],huu uchaguzi ni geresha tu,nyie mnashupaza shingo,eti ni yeyeee[emoji23][emoji23], ffaakkenn!!.hata hakuna haja ya kupiga kura.wastage of time ...
[emoji1] we jamaa unaonekana upo NEC na wewe, njoo ujibu maswali hapo. Acheni kuanza kuleta bias
 
Wakuu mimi si mtaalamu sana wa sheria lakini najaribu kujiuliza maswali machache.

1. Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kupitia mkurugenzi wake) inajaribu kujibu na kukanusha tuhuma kwa mgombea fulani. Si ilipaswa yeye mwenyewe au waenezi wa chama kama akina polelepole wafanye hiyo kazi?.

2. Je, Mkurugenzi anavosema mgombea A anapotosha umma na kuwadhihaki wengine, je hiyo kauli yake kuwa kuna watu watapeleka madini nje kwake haoni kama ni tuhuma pia.

Na hii imesemwa na mgombea anaye mtetea, haoni kama ni kitu kilekile anachokataza upande wa pili?

3. Anavosema watanzania wanataka A,B,C, hawataki E,F,G ni lini alikaa na watanzania wakamwambia hayo. Je anaweza kuthibitisha hayo mahakamani.

4. Je, uvunjaji wa taratibu unaofanywa na baadhi ya wagombea ubunge, mfano anayetoka nje ya jimbo lake kumnadi mgombea urais wa chama chake (kazi iliyopaswa kuwa ya mgombea mwenza) hayo haoni kama ni ukiukwaji wa taratibu?

Nawasilisha
Hakika huyu mkurugenzi wa tume hajitambui! Eti anawapa talking notes wagombea urais katika hotuba zao, hajui kuwa kila mgombea ana sera zake?
 
Back
Top Bottom